Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sishangai mbona hata yule kaka yao mkubwa king of all social media le akili kubwaz, huwa anahudhuria after school bash......kama ujuavyo hiyo bash inahudhuriwa na watoto wa shule za sekondary ambao ni 14-20 (ndo kumaanisha na yeye anarange hapo, mi na wewe hatujui)
Miaka 26 tangu 2008, hiyo ndio nimeita akseleresheni. Hata kama alikuwa na miaka 19.999Hiyo under twenty yako ni miaka mingapi, be specific
Ili tujumlishe na 11 tupate jibu sahihi
joketi ana miaka 29, tuache chuki watanzania.Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Mada ya Joketi, imejaa habari ya Wema. Hembu tuache basi...Oho!!! Hatari kuanzia mwaka 2006 hadi sasa ni miaka 11. Hivyo ana miaka 28, ila kama alizaliwa tarehe 28 September 1988, hivyo ana miaka 30. Ila hakutakiwa kushiriki maana alikuwa na miaka 17 tu.
View attachment 517226View attachment 517226
Hawadanganyi.Kwanini huwa wanadanganya umri?!
Ok nimeelewa mkuu!Hawadanganyi.
Tatizo liko kwetu wanaume. Tunapenda sana dogodogo.
Kama bibie hajapata mume baada ya miaka 25, unataka aendelee kujitangaza
kuwa yeye "amezeeka?"
Inamaana hata Mzee Majuto anamiaka chini ya 30?
Acha uongo wewe, Jokate kibibi kabisa nikifaham wakati kinasoma Udsm, sasa kama ana 19 shule ya msingi kaanza mwaka gani nakamaliza chuo mwaka gani utapata jibu.joketi ana miaka 29, tuache chuki watanzania.
Samehe ila Joketi Born: March 20, 1987 (age 30), Washington, D.C., United StatesMada ya Joketi, imejaa habari ya Wema. Hembu tuache basi...
Wapi nimeandika ana miaka 19?Acha uongo wewe, Jokate kibibi kabisa nikifaham wakati kinasoma Udsm, sasa kama ana 19 shule ya msingi kaanza mwaka gani nakamaliza chuo mwaka gani utapata jibu.
Upo sahihi kabisaSamehe ila Joketi Born: March 20, 1987 (age 30), Washington, D.C., United States
haa haa le akili kubwaz kazaliwa kwa awamu haaa haaLe Mutuz kuzaliwa awamu ya 3, 1998
hata sijui, hivi alishatoka clouds tv?Janet aliolewa akawa Janet Talawa yuko wapi siku hizi?
Heheheheheh Daaah....!! Tanzania ina raia wa kila aina. Nimecheka si kawaida.Ya Korea kaskazini labda.
Mara ya mwisho alikuwa kwenye project ya under the sun kuwahudumia watoto maalbino. Alipendeza sana kusoma taarifa ya habari ITVhata sijui, hivi alishatoka clouds tv?