MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Na ajabu zaidi kila mwaka wanafanya birthday party... Lakini hawasemi wanatimiza miaka mingp.. Warembo wa bongo...miaka haisogei kila siku wao under 26
 
Kuna watu wanatamani Calendar iwe mikononi mwao ili waizungushe kurudi nyuma.
It's woundeful.
Utasikia; umri wangu umeenda, Nina miaka 26!
 
Hiyo under twenty yako ni miaka mingapi, be specific

Ili tujumlishe na 11 tupate jibu sahihi
Miaka 26 tangu 2008, hiyo ndio nimeita akseleresheni. Hata kama alikuwa na miaka 19.999
 
Kwanini huwa wanadanganya umri?!
Hawadanganyi.

Tatizo liko kwetu wanaume. Tunapenda sana dogodogo.

Kama bibie hajapata mume baada ya miaka 25, unataka aendelee kujitangaza
kuwa yeye "amezeeka?"
 
joketi ana miaka 29, tuache chuki watanzania.
Acha uongo wewe, Jokate kibibi kabisa nikifaham wakati kinasoma Udsm, sasa kama ana 19 shule ya msingi kaanza mwaka gani nakamaliza chuo mwaka gani utapata jibu.
 
hata sijui, hivi alishatoka clouds tv?
Mara ya mwisho alikuwa kwenye project ya under the sun kuwahudumia watoto maalbino. Alipendeza sana kusoma taarifa ya habari ITV
 
Back
Top Bottom