Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Extra ordinary human ni Kristo pekeeNdiyo lakini an extra ordinary human being.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Extra ordinary human ni Kristo pekeeNdiyo lakini an extra ordinary human being.
NAKAZIA.Title isomeke: UZI MAALUMU KWA WENYE MATATIZO YA AKILI
Kwa sababu muda si mrefu wavaa kobasi, wagalatia wa lupaso, wayahudi wa singida na kondoo wa mwamposa wanaanzisha ligi hapa
Kristo siyo human being ni MunguExtra ordinary human ni Kristo pekee
Ni human being pia, ndio maana Kuna kipindi alihisi njaa, alilia n.kKristo siyo human being ni Mungu
Bikra maria hatumuabudu bali heshima inayodhinda heshima zoteAnayeabudiwa ni Mungu peke yake. Ukimwabudu mwanadamu wewe utajibu siku ya Mwisho. Kristu ni Bwana kwa Utukuku wa Mungu Baba!
However extra ordinary she was, Glory is reserved for the almighty one alone. Hata Yesu alivyokuja duniani alivua utukufu na siku alipoutaka aliuomba tena kwa unyenyekevu kwa Baba. Yohana 17 yote yaelezea tukio zima la yeye kuomba kutukuzwa tena kama ilivyokua mwanzo. Mwanadamu hatashare utukufu na Mungu. Musa alikua mwaminifu kuliko wote kwenye nyumba ya Mungu lakini hakushare utukufu wa Mungu mahali popote!Ndiyo lakini an extra ordinary human being.
Hapana. Usibishe tena plzNi human being pia, ndio maana Kuna kipindi alihisi njaa, alilia n.k
Well namheshimu. Hata yeye alisema vizazi vyote vitaniita mbarikiwa. Lakini mbele ya mahakama ya Mungu kuna mdhamini mmoja wa agano, wakili mmoja, mwombezi mmoja na mwokozi mmoja. Mwanadamu Yesu Kristo.Bikra maria hatumuabudu bali heshima inayodhinda heshima zote
Subirieni siku hiyo ikifika ndio mtamjua ni nani ambaye ni M/Mungu wa kweli.Yesu ndiye alimuumba bikra Mariam,
Pia Yesu ndiye aliyejiumba ndani ya tumbo la Mariamu kupitia Roho wake mtakatifu.
Mariam pia alijua Hilo na alimwabudu Mungu.
Ninyi WANADAMU mnaomwabudu Mariam ni waabudu shetani.
Mwanamke anayezungumzwa ni Bikra Maria. So she was chosen amongst many women therefore you should pay an extra ordinary respectMaigizo kiaje wakati bible imeweka wazi kuwa kaja duniani kupitia mwanamke?.
Uenda sikuelewi vizuri.. Fafanua vizuri swali lako.
Mungu wa kweli ni Mungu. Bikra maria ni mtumishi wake aliyechaguliwa katika watumishi wengi kama anayestahili kuheshimiwa na kuitwa mbarikiwa na kila kiumbe ispokuwa nyie wapaganiSubirieni siku hiyo ikifika ndio mtamjua ni nani ambaye ni M/Mungu wa kweli.
Yesu siyo mwanadamu plz. Yesu ni munguWell namheshimu. Hata yeye alisema vizazi vyote vitaniita mbarikiwa. Lakini mbele ya mahakama ya Mungu kuna mdhamini mmoja wa agano, wakili mmoja, mwombezi mmoja na mwokozi mmoja. Mwanadamu Yesu Kristo.
Wewe ni Mjinga,Mungu wa kweli ni Mungu. Bikra maria ni mtumishi wake aliyechaguliwa katika watumishi wengi kama anayestahili kuheshimiwa na kuitwa mbarikiwa na kila kiumbe ispokuwa nyie wapagani
When we are all in Christ body, we should respect one another. Mosses did not disrespect Ibrahim or Jacob because he was in close contact with God. He respected them because God chose them to enter covenant with the Israelite. Even when they sinned again God and he was about to consume them, Mosses stood there and redirected God's anger by pledging for his mercy. Ingekua hawaheshimu hao waliomtangulia angeruhusu hasira ya Bwana iwaangamize ili yeye afanywe taifa kubwa badala yao.Mwanamke anayezungumzwa ni Bikra Maria. So she was chosen amongst many women therefore you should pay an extra ordinary respect
Hakuna anayemwabudi bikra maria. Mbona kichwa chako kizito kuelewa?Wewe ni Mjinga,
Nionyeshe andiko linalosema Mariamu alichaguliwa Ili atengenezewe Utaratibu wa kuabudiwa!!
Sibishi mkuu....ndio maandiko yanavyosema..Hapana. Usibishe tena plz
Exactly. Then pay respect to virgon mary you will be in a good positionWhen we are all in Christ body, we should respect one another. Mosses did not disrespect Ibrahim or Jacob because he was in close contact with God. He respected them because God chose them to enter covenant with the Israelite. Even when they sinned again God and he was about to consume them, Mosses stood there and redirected God's anger by pledging for his mercy. Ingekua hawaheshimu hao waliomtangulia angeruhusu hasira ya Bwana iwaangamize ili yeye afanywe taifa kubwa badala yao.
Achabwivuuuu shetaniii umeshindwaaa anzishaa lakoo wakufwateeThis is too contradictory.
Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa sana.
Bikira Maria kwao wanamuona kama bahasha iliyokuwa ndani ina barua. Baada ya kuitoa barua basi bahasha ile inatupw na kuonekana takataka. Hivi ndivyo wanavyomuona Bikira maria.
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Hata leo ikitokea Yesu akarudi duniani wako radhi kumkana na kusema mwamposa ndo yesu wao.
Hivi anachofanya Mwamposa kina tofauti gani ni mazingaombwe ya hapo awali yaliyokuwa yanafanywa mashuleni kama power mabula nk au utabili wa hali ya hewa.
Taja mtoto wa bikra maria hata mmoja mbali na yesu pekee.Bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kunyanduliwa na yusufu kwa sababu malaika alimkataza yusufu kumuacha ,kwa hiyo bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kuwa mke wa yusufu ,na aliendelea kunyanduliwa kama kawaida na baadae alizaa watoto wengine alipozeeka alikufa na akazikwa mpaka Leo yumo kaburini ndio maana sisi walokole hatuwezi kumfanya bikra maria kama sehemu ya ibada