Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

Title isomeke: UZI MAALUMU KWA WENYE MATATIZO YA AKILI

Kwa sababu muda si mrefu wavaa kobasi, wagalatia wa lupaso, wayahudi wa singida na kondoo wa mwamposa wanaanzisha ligi hapa
NAKAZIA.
 
Anayeabudiwa ni Mungu peke yake. Ukimwabudu mwanadamu wewe utajibu siku ya Mwisho. Kristu ni Bwana kwa Utukuku wa Mungu Baba!
Bikra maria hatumuabudu bali heshima inayodhinda heshima zote
 
Ndiyo lakini an extra ordinary human being.
However extra ordinary she was, Glory is reserved for the almighty one alone. Hata Yesu alivyokuja duniani alivua utukufu na siku alipoutaka aliuomba tena kwa unyenyekevu kwa Baba. Yohana 17 yote yaelezea tukio zima la yeye kuomba kutukuzwa tena kama ilivyokua mwanzo. Mwanadamu hatashare utukufu na Mungu. Musa alikua mwaminifu kuliko wote kwenye nyumba ya Mungu lakini hakushare utukufu wa Mungu mahali popote!
 
Bikra maria hatumuabudu bali heshima inayodhinda heshima zote
Well namheshimu. Hata yeye alisema vizazi vyote vitaniita mbarikiwa. Lakini mbele ya mahakama ya Mungu kuna mdhamini mmoja wa agano, wakili mmoja, mwombezi mmoja na mwokozi mmoja. Mwanadamu Yesu Kristo.
 
Yesu ndiye alimuumba bikra Mariam,

Pia Yesu ndiye aliyejiumba ndani ya tumbo la Mariamu kupitia Roho wake mtakatifu.

Mariam pia alijua Hilo na alimwabudu Mungu.

Ninyi WANADAMU mnaomwabudu Mariam ni waabudu shetani.
Subirieni siku hiyo ikifika ndio mtamjua ni nani ambaye ni M/Mungu wa kweli.
 
Maigizo kiaje wakati bible imeweka wazi kuwa kaja duniani kupitia mwanamke?.
Uenda sikuelewi vizuri.. Fafanua vizuri swali lako.
Mwanamke anayezungumzwa ni Bikra Maria. So she was chosen amongst many women therefore you should pay an extra ordinary respect
 
Subirieni siku hiyo ikifika ndio mtamjua ni nani ambaye ni M/Mungu wa kweli.
Mungu wa kweli ni Mungu. Bikra maria ni mtumishi wake aliyechaguliwa katika watumishi wengi kama anayestahili kuheshimiwa na kuitwa mbarikiwa na kila kiumbe ispokuwa nyie wapagani
 
Well namheshimu. Hata yeye alisema vizazi vyote vitaniita mbarikiwa. Lakini mbele ya mahakama ya Mungu kuna mdhamini mmoja wa agano, wakili mmoja, mwombezi mmoja na mwokozi mmoja. Mwanadamu Yesu Kristo.
Yesu siyo mwanadamu plz. Yesu ni mungu
 
Mungu wa kweli ni Mungu. Bikra maria ni mtumishi wake aliyechaguliwa katika watumishi wengi kama anayestahili kuheshimiwa na kuitwa mbarikiwa na kila kiumbe ispokuwa nyie wapagani
Wewe ni Mjinga,

Nionyeshe andiko linalosema Mariamu alichaguliwa Ili atengenezewe Utaratibu wa kuabudiwa!!
 
Mwanamke anayezungumzwa ni Bikra Maria. So she was chosen amongst many women therefore you should pay an extra ordinary respect
When we are all in Christ body, we should respect one another. Mosses did not disrespect Ibrahim or Jacob because he was in close contact with God. He respected them because God chose them to enter covenant with the Israelite. Even when they sinned again God and he was about to consume them, Mosses stood there and redirected God's anger by pledging for his mercy. Ingekua hawaheshimu hao waliomtangulia angeruhusu hasira ya Bwana iwaangamize ili yeye afanywe taifa kubwa badala yao.
 
Wewe ni Mjinga,

Nionyeshe andiko linalosema Mariamu alichaguliwa Ili atengenezewe Utaratibu wa kuabudiwa!!
Hakuna anayemwabudi bikra maria. Mbona kichwa chako kizito kuelewa?
 
Hapana. Usibishe tena plz
Sibishi mkuu....ndio maandiko yanavyosema..

Warumi 5
15 Lakini karama ile haikuwa kama lile kosa; kwa maana ikiwa kwa kukosa kwake yule mmoja wengi walikufa, zaidi sana neema ya Mungu, na kipawa kilicho katika neema yake mwanadamu mmoja Yesu Kristo kimezidi kwa ajili ya wale wengi.

1 Timotheo 2
5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;
 
Bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kunyanduliwa na yusufu kwa sababu malaika alimkataza yusufu kumuacha ,kwa hiyo bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kuwa mke wa yusufu ,na aliendelea kunyanduliwa kama kawaida na baadae alizaa watoto wengine alipozeeka alikufa na akazikwa mpaka Leo yumo kaburini ndio maana sisi walokole hatuwezi kumfanya bikra maria kama sehemu ya ibada
 
When we are all in Christ body, we should respect one another. Mosses did not disrespect Ibrahim or Jacob because he was in close contact with God. He respected them because God chose them to enter covenant with the Israelite. Even when they sinned again God and he was about to consume them, Mosses stood there and redirected God's anger by pledging for his mercy. Ingekua hawaheshimu hao waliomtangulia angeruhusu hasira ya Bwana iwaangamize ili yeye afanywe taifa kubwa badala yao.
Exactly. Then pay respect to virgon mary you will be in a good position
 
This is too contradictory.

Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa sana.

Bikira Maria kwao wanamuona kama bahasha iliyokuwa ndani ina barua. Baada ya kuitoa barua basi bahasha ile inatupw na kuonekana takataka. Hivi ndivyo wanavyomuona Bikira maria.

Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Hata leo ikitokea Yesu akarudi duniani wako radhi kumkana na kusema mwamposa ndo yesu wao.

Hivi anachofanya Mwamposa kina tofauti gani ni mazingaombwe ya hapo awali yaliyokuwa yanafanywa mashuleni kama power mabula nk au utabili wa hali ya hewa.
Achabwivuuuu shetaniii umeshindwaaa anzishaa lakoo wakufwatee
 
Bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kunyanduliwa na yusufu kwa sababu malaika alimkataza yusufu kumuacha ,kwa hiyo bikra maria baada ya kumzaa YESU aliendelea kuwa mke wa yusufu ,na aliendelea kunyanduliwa kama kawaida na baadae alizaa watoto wengine alipozeeka alikufa na akazikwa mpaka Leo yumo kaburini ndio maana sisi walokole hatuwezi kumfanya bikra maria kama sehemu ya ibada
Taja mtoto wa bikra maria hata mmoja mbali na yesu pekee.
 
Back
Top Bottom