Uchaguzi 2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

Askofu wa wajinga kuweni waangalifu naye namjua vizuri ni mtu hatari sana.
Hakuna mahali tapeli amewahi kuwa mkweli hata kwa kwake mwenyewe
sidhani kama kua mtu atampa kura! Mara nitamfufua Chifupa, mara nitawaponya, kwenye corona alijichimbia kichwa kwenye mchanga na kuacha kiwiliwili nje!
Wapinzani bwana hamna hoja kabisa
Gwajima Mungu ameamua kumdhalilisha hadharani
Gwajima anaeleweka .
Wasioeleweka ni waliompa hiyo nafasi
 
Kumbe Gwajima ni mkristo? Kweli sikuwahi kujua.
 
Yeye kasema atajenga kwa hela yake binafsi wewe unaanza kuleta hesabu za sadaka. Kuwa na amani na matumizi ya sadaka yako mkuu
 
Askofu wa wajinga kuweni waangalifu naye namjua vizuri ni mtu hatari sana.
Nani kakuuliza kama unamjua? Wajinga gani unaowazungumzia? Leta ushahidi wa uhatari wa uyo askofu wa wajinga
 
Dah aise jamaa Ahadi zake
Sawa na zile za ndiyoooo mzeee

Ova
 
Umekosa majibu unahamisha mjadala sawa bwana umesomeka na story zako za vijiweni
Sijui nani mwenye akili nzuri anayeweza kumtetea huyu mkabila mkubwa anayejulikana barabara kwa kutaka kuligawa taifa kwa misingi ya ukabila. Nani atamsapoti mtu huyu kwa kauli zake chafu na matusi hata kwa viongozi wengine wa dini wakati hawakumkosea. Niishie hapo ni mengi mno kuhusu askofu wa wajinga.
 
Conman!
 
Sasa wewe na yeye mnatofauti gani maana hata wewe unatumia kauli chafu na matusi kumuelezea "askofu wa wajinga".
 
kwani halima mdee ni maendeleo gani ameleta tangu awe mbunge wa kawe?lazima abadirike tuone na huyu atawezaje kuwatetea wana kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…