Mbwa mwitu wa kondoo za Bwana na askofu wa wajinga wala simumunyi maneno hapa na kama wewe unamfuata utaliwa tu kwani wajinga ndio waliwao. Kamwe hawezi kuwa mtumishi wa kweli wa Mungu aliye hai ni juu yako kuendelea kumwamini.Sasa wewe na yeye mnatofauti gani maana hata wewe unatumia kauli chafu na matusi kumuelezea "askofu wa wajinga".