Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni CCM Arusha, Joshua Nassari aubamiza Upinzani


Pongezi kwako kutambua hili:

"Lissu Sasa anaonekana mpinzani halisi."

Na huo ndiyo ulio ukweli thabiti. Ndiyo maana hata pamoja na kuyachagiza manyumbu ya Lumumba na maafisa vipenyo wote kuwa ni mwenzao - yote kabisa maji ga nyanja. Bado yame 'mute' tu. Kimyaaa, utafikiri hayapo!

Yamechanganyikiwa yasijue la kufanya. Kuweweseka tayari imebakia kurokota makopo tu sasa.

Pia ungemalizia kwa kutambua kuwa "jiwe yuko after maslahi yake zaidi na ndiyo maana kukandamiza haki na uhuru wetu ki hivi." Ungekuwa umejitendea haki zaidi.
 

😂😂😂 Shauri yako Sasa, baada ya uchaguzi usisahau kutoa mrejesho juu ya huyo kamanda wenu Lissu.
Lakini pia usisahau kuwa, Lissu anahaha Sana, Kuna sehemu moja hivi alitaka kuanguka jukwaani😂, naamini utaniomba clip, ili tufurahi wote.
 
Kweli... Ndio Maana matokeo ya urais hayahojiwi hata kura ziwe nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura.
Subirieni siku mkishika Dola mtaibadilisha katiba ili wananchi wote muweze kuhesabu kura.Kwasasa kuweni wavumilivu tu.
 

Buku saba imeshasoma?
 
Joshua Nassari yupo hapa kwenye hii dunia kutuelekeza leo eti nini cha kufanya with our votes?

Joshua Nassari,the loser?

Get real people!
 
Siajabu akasema hata mbwa wake hakuuawa kwa kupigwa risasi, huwezi ukatoka upinzani ukahamia CCM kichwa kikaendelea kuwa salama,lazima kichwa kipate mawenge wenge.
Sasa kwa akili yako wale mbwa waliuawa kwa risasi?
 
Magufuli ni raisi wa kudumu kama mbowe na uenyekiti wa chademaa
 
Wameru fungukeni akili na macho,wacheni kupeleka magoigoi bungeni
 
Hata wewe si ndiyo ulikuwa unatuhubiria kuhusu uhatari wa corona humu hadi ilikuwa kero kila siku lazima ufungue uzi wa kuhusu corona,ila sasa hatuoni tena nyuzi za corona umeigeukia siasa tu.
 
Nassari kawehuka.. Kutoka ulokole hadi kuwa mpiga K vant?
Una tegemea nini hapo zaidi ya kuwa mropokaji?
Ana tafuta fadhila kwa wahonga madaraka.
Chadema ilisha mfungia jiwe shingoni na kumtosa kwenye kilindi cha maji mengi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…