Wakati mwingine wenge la upwiru humfanya mwanamke kuwa kama kachanganyikiwa ๐คฃYour faith bar is so low. Ukiniambia pia kwamba hiyo GPU hukununua bali uliomba ikashuka toka mbinguni then ninaweza kukusikiliza lakini kwamba iliharibika ukaomba ikapona hapana asee. It's too convenient.
Hahaa, comment yako na mimi imenifurahisha.๐Mkuu una mastory kweli na hayanaga ushahidi. Mimi siku zote kutokana na avatar yako huwa nahisi wewe mwanamke, na kama wewe ni mwanamke na uelewa wa mambo ya technology ulionao umenifurahisha.
Mambo ya Imani ni magumu sana, Kuna jamaa shuleni tulihisi ni chizi kwa stori zake za Imani mara akitaka kufanya kitu anaacha ghafla ukimuuliza nini, anadai kashukiwa na bwana aka onywa asifanye hicho kitu๐คฃ๐คฃ๐คฃTupunguze uongo ndugu zanguni
Faith doesnโt need to meet your standard to be real. Itโs not about something dropping from heaven, but about trusting God to intervene where human solutions fail. My GPU was faulty, I prayed, and it worked again. That may sound โtoo convenientโ to you, but to me itโs evidence that God can move in both the big and the small.Your faith bar is so low.
Ni magumu sana kwako wewe mwenye imani haba. Wewe hujiulizi kwanini nasema kuokoka ni kutamu? Mungu amenitendea mambo mengi sana ya barakaMambo ya Imani ni magumu sana, Kuna jamaa shuleni tulihisi ni chizi kwa stori zake za Imani mara akitaka kufanya kitu anaacha ghafla ukimuuliza nini, anadai kashukiwa na bwana aka onywa asifanye hicho kitu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Warumi 14:17Tayari mtumishi wa mungu una karama ya kufanya muujiza, Anza kutoa huduma ya maombezi Kwa kwenye shida ule sadaka, fungua na kabisa. Usinisahau katika ufalme wako
Hakika kabisa Setfree . Yeye Ni Alpha na OmegaNdio hivyo. Mungu ni mwema kila wakati