Hatari sanaAcha kucopy na kupaste huo msemo. Sasa hapa kuna hatari gani
Upweke na upwiru vinamtia wenge sana huyu DadaMtumishi punguza wenge
Anaonekana ana midadi sana. Inabidi kumzamia pm mpaka aingie kwenye 18.Upweke na upwiru vinamtia wenge sana huyu Dada
Duh hapa lazma kondoo Busu la Kenge na shoga zake kama Chizi Maarifa na wengne watakuja tu jumapili kupata neno na kuleta sadaka
We endelea kucheka na dhambi tu, siku ya hukumu yajaMke wangu ameona hapa umenitaja akaona wivu na kuleta ugomvi kuwa nina mademu JF hawaachi kunitaja taja na kunifikiria kila wakati. Wewe nlikugegedea wapi? Yule wa kwenye gari au nyuma ya ile lounge pale msasani? Maana sikumbuki vizuri.
🙂Yale yale ya kujaza mtungi wa gesi kwa kupuliza. Ha ha haaa.
Kusema wokovu ni uchizi ni kumdhihaki Mungu aliyenituma nikupe habari njema. Imeandikwa: ‘Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna’ (Wagalatia 6:7). Maneno yako ni ushuhuda kuwa moyo wako unampinga Kristo, na mwisho wa moyo huo ni maangamizi. Leo nakuonya kwa jina la Yesu: acha dhihaka zako, tubu uokoke, maana siku ya hukumu imekaribia. Siku hiyo hautasema tena ulokole ni uchizi, bali utalia na kusaga meno.Ulokole na uchizi ni mtu na bff