Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

Sasa mbona wewe unaombea PC chakavu badala ya kuomba hizo Dola ununue PC mpya ya kisasa?
 
Nonsense
 
🤣🤣🤣
Dada tafuta au muombe Mungu akupe Mwanaume awe anakutoa hilo wenge ulilo kuwa nao.
Kama wenge langu limekuvuta mpaka umefungua mada yangu, basi asifiwe Yesu
 
Mtaalamu wa IT kabisa unasema mambo kama hayo ok sawa.
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako (Mithali 3:5-6)
 
Muda mwingine sisi tunaokuwa tunasoma nyuzi zenu ifikie mahali mjaribu kuwa mnatuheshimu hata kidogo basi!

Enewei, kwani Mpwayungu Village yupo wapi siku hizi
 
Muda mwingine sisi tunaokuwa tunasoma nyuzi zenu ifikie mahali mjaribu kuwa mnatuheshimu hata kidogo basi!

Enewei, kwani Mpwayungu Village yupo wapi siku hizi
Kwani hujaona nilivyoanza mada yangu? Nimeanza kwa kutoa heshima kwenu wakuu
 
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako (Mithali 3:5-6)
Hilo sikatai kabisa hapo sina ubishi ila kwenye Graphic Card umetupiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…