Marriage imekuwa Suffering....Kuogopa tu kuitwa "Single Mother".Kabisa,kuna muda wanawake tunakuwa mazoba kweli
Hatujakataa tu nakuwaga na maudhi mengi lakini ndio ufikie hatua hiyo aliyofikia huyo dada?Ni kweli mwanaume anakosa lakini hatujui upande wa mwanamke na makosa yake sasa siwezi hukumu mwanaume na sijui huyo mwanamke alimpa maudhi kiasi gani...!
HakikaKarne za leo kama mwanaume unaakili timamu kamwe huwezi kumpiga mwanamke, kupiga nankujeruhi ni uonezi na sio funzo kwamba atajifunza
Bora kuitwa singo mama hata watoto mia lakini si kutiwa ulemavu Kwa kipigo.Marriage imekuwa Suffering....Kuogopa tu kuitwa "Single Mother".
Kabisa....Bora kuitwa singo mama hata watoto mia lakini si kutiwa ulemavu Kwa kipigo.
Mi ngoja waniite mpaka watanuke midomoππMarriage imekuwa Suffering....Kuogopa tu kuitwa "Single Mother".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi ngoja waniite mpaka watanuke midomo[emoji23][emoji23]
Tena wakati mwingine ana joto Kali mwilini na anataka .....Ninauzoefu wa mimba zaidi ya moja.
Kama mwanamke anamimba hapo mwenye kosa ni mwanaume kulingana na mwandiko wako.
kupiga gani huko jamani khee
Anaishi na muuaji ndani eti anampenda ππΌββοΈππΌββοΈ Akili ishaharibika pakubwaHuyu mwanamke atakua anaishi na mhalifu
Ameshamuathiri kisaikolojia kwa kiasi cha kutisha
Ila serikali iingilie Kati maana akili zikimkaa sawa anaweza asipigwe tena ila yakawa mauaji
Mapenzi yapo ya aina nyingi mamaMwanaume wa kupiga kiasi hiki hapana kwakweli.
Mapenzi matamu mkinuniana kiaina lakini si kwa ulingo huu.huu uwanja ni wakina mandonga mtu kazi
Akili itakuwa imetingishika kidogo.wasubirie akili ipoe,itulie na kukaa mahali pake ndipo waje maswali kama hayo
Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupendaHajipendi mwenyewe acha auliwe
Kwahyo wanawake kule kanda maalum ni mazoba ? Mkishaishi mjini mnasahau kabisa mila mlipotokaKabisa,kuna muda wanawake tunakuwa mazoba kweli