Pole na kunywa maji mengi kupunguza makasiroko ila siku ukidabwa kwa huo uongo utachakazwa zaid ya huyo mwenzako hapo....Umeathirika kisaikolojia wewe
Yaani unadhani vile wewe ulibambikizwa kwa babako ndio kila mwanamke anafanya🙄🙄
Pole ndugu maana hiyo ni laana, na ndio maana unaona hata watoto uliodhani ni wako umebambikwa pia. Yaani kwa kifupi umevurugwa🤣🤣🤣🤣