Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

Umeathirika kisaikolojia wewe

Yaani unadhani vile wewe ulibambikizwa kwa babako ndio kila mwanamke anafanya🙄🙄

Pole ndugu maana hiyo ni laana, na ndio maana unaona hata watoto uliodhani ni wako umebambikwa pia. Yaani kwa kifupi umevurugwa🤣🤣🤣🤣
Pole na kunywa maji mengi kupunguza makasiroko ila siku ukidabwa kwa huo uongo utachakazwa zaid ya huyo mwenzako hapo....
 
Back
Top Bottom