MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Sasa mbona watu wakileta nyuzi za kukataa ndoa wanawake mnakuwa wa kwanza kukasirika na ku react ?Marriage imekuwa Suffering....Kuogopa tu kuitwa "Single Mother".
Mmezidi kuitukuza sana asiye olewa mnamuona kama kapotea hivi ndio maana watu wanavumilia mateso