political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo mwingi mwisho wake huwa kama hvi yani unaongopa mpaka unasahau[emoji599][emoji736]BREAKING NEWS: Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]View attachment 2685036
Ukiskia UTHUBUTU ndo huuBREAKING NEWS: Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]View attachment 2685036
Maisha ya Africa mpaka utoboe ni kazi sana na umri unakuwa umeshaaenda ndio mahana wanajaribu kudanganya umri angalau wapate muda wa kuchuma vipesa..Hivi kwanini wanaongopa?
Only in Africa..
Yani kazaliwa baada ya mama yake kufariki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiskia UTHUBUTU ndo huu
Aaahaaaa,Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
View attachment 2685036
Kama kazaliwa drkongo Miaka hiyo ,halali aseme alizaliwa 1990Hii kesi anayo tangu 2021, pia kuna report zinadai alizaliwa DR Congo.
Yaani mwana ana misala km yoteee...
Mama yake mzazi alifariki 1986 na yeye kazaliwa 1990Hana kosa
Alizaliwa 1986
Mama kufa 1990 akiwa na miaka 3 1/5 ,mkosaji hapo aliyempa taarifa zisizo sahihi ambaye ni mjomba pengine
Mimi sikusoma shule hata lakwanza sijui ,alaumiwe mjomba
Huu ni mzimu sasa sio mtu tena.Yani kazaliwa baada ya mama yake kufariki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wahindi wakiwaleteeni movie zao wanakufa wanazaliwa tena mnazigombea lkn mgabon hpo kitu inauhalisia kabisa mnamkataaaYani kazaliwa baada ya mama yake kufariki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kesi anayo tangu 2021, pia kuna report zinadai alizaliwa DR Congo.
Yaani mwana ana misala km yoteee...