Afrika_Bora
Member
- Oct 20, 2020
- 77
- 159
Hebu tuwe wakweli kidogo, siku ya kupiga kura kwa wananchi wote ni kesho, leo ni kwa wale wenye kazi maalumu tu. Sasa Maalim Seif anakwenda kwenye kituo kufanya nini??
Hii ni kuichokoza serikali kwa makusidi ili ukikamatwa uanze kulalamika kuwa hautendewi haki
Ila ukiwa ccm unaishiwa hadi akiri kwan nani kasema malim seif ni kijana? ? Malim ni mzee kama wengne lazima apige kura leoSamahani mkuu kwani maalim seif ni mlemavu? Leo maelekezo ni kwamba walemavu na wazee ndiyo wanapiga kura.
Mwanamke kama alivyo baba akoHivi kumbe Seif ni mwanamke?
Sikujua hilo
Kwan Nchi ndogo yenye wapiga kura wachache namna ile wapige kura siku mbiliSafi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Bara hakuna walemavu ?Samahani mkuu kwani maalim seif ni mlemavu? Leo maelekezo ni kwamba walemavu na wazee ndiyo wanapiga kura.
Kama unajua kuna maisha baada ya uchaguzi mwambie huyo mzee kesho ndo siku ya kupiga kura na sio leo eboo.Kupiga kura Zanzibar ni kukamatwa? Polisiccm muogopeni mungu kuna maisha baada ya uchaguzi
Kwanini iliwekwa siku2 za kupiga kura kwenye sheria ya uchaguzi Zanzibar?Nawewe Jaribu kuwa na akili kidogo japo za kuazima.
Hivi Tanzania bara hakuna watu wa kazi maalumu? Kazi maalumu iyo ni ipi unayoizungumza ambayo Bara haipo ?
TUMIA AKILI JAPO KIDOGO.. WACHA UPUMBAVU MZEE
Hiyo ni kazi ya mawakala. Je ingekuwa ni mgombea Mwinyi kafanya hivyo na Maalim hajafanya mngeelewa?Yeye kama mgpmbea je haruhusiwi kutembelea zoezi na upigaji kura aone kama haki inatendeka?
Kwa nini mwaka huu kura zanzibar zipigwe mara mbili??Zanzibar kuna kura mbili
Kura za viongozi wa Serkali ya mapinduzi
Na Rais Magufuli pamoja na wawakilishi
Ili wapate KUIBA KURA kwa nafasi, hamna chengine.Kwanini iliwekwa siku2 za kupiga kura kwenye sheria ya uchaguzi Zanzibar?
Mkuu MURUSI ,acha kuhangaika na misukule na mibwabwa hiyo.
Zanzibar wanapiga kura leo kwani?
Zanzibar kura zinapigwa leo na kesho tena. CCM mbona mna low iq kiasi hiki.Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Zanzibar kura zinaanza kupigwa leo wewe mbumbumbu wa ccmSafi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Maalim Seif S ni CHADEMA!?Chadema ni watu wa vurugu na uongo