Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Kwann mwaka huu tu ndo waweke utaratibu huu? Kwa nini Tanzania Bara hakuna hio??Hiyo ni kazi ya mawakala. Je ingekuwa ni mgombea Mwinyi kafanya hivyo na Maalim hajafanya mngeelewa?
Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Mlipopiga lisu risasi kumuuwa amkujua kama kazi ya MUNGU?. Mmeuwa kina Ben saanane ile ilikuwa kazi ya MUNGU sio?.Damu za watu mtadaiwa tu mtake msitake. Maana imeandika MUNGU ataitaka damu ya mwanadam aliyeuwawa mikononi mwa wauwaji. Mjiandaye kuipeleka Kwa mikononi yenu.Kazi ya Mungu hiyo
Acha jazba, CCM oyeeKwann mwaka huu tu ndo waweke utaratibu huu? Kwa nini Tanzania Bara hakuna hio??
. Jibu wewe dilekccm uchwara.
Watatangulia wao kabla yake madhalimu yote na vibaraka vyao waliotaka Lisu atangulie kabla yao kwa ajili ya matumbo yaoMlipopiga lisu risasi kumuuwa amkujua kama kazi ya MUNGU?. Mmeuwa kina Ben saanane ile ilikuwa kazi ya MUNGU sio?.Damu za watu mtadaiwa tu mtake msitake. Maana imeandika MUNGU ataitaka damu ya mwanadam aliyeuwawa mikononi mwa wauwaji. Mjiandaye kuipeleka Kwa mikononi yenu.
Wasia unaandika nyumbaniPia usishau kubebe pen na karatasi kwa ajili yakuandika wosia wa marehemu maana lolote linaweza kutokea.
Ni Mithali 14:34Mithali 34:14
Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote
Pia imenenwa kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI
Tunapaswa kama Taifa tujiulize je HAKI tunaitenda wakati tunahimiza tudumishe AMANI?
Any enemy of a black person is another black person!Black people are always black - Mungu alitupendelea sana
Amechoka kuporwa Urais kila mwaka wa uchaguziMaalim Kuna Jambo analitafuta ...Uzee wake aumalize salama aisee
Dear Maalim and your core supporters, here is your message. Uchaguzi huu ni ama unatangazwa rais kwa gharama yo-yote au unaishia jela maisha. Enough is enough. Usikubali kushindwa kiboya. You have suffered a lot. You have tolerated a hundred dhuruma. Tangu 1995 hadi muda huu mnalazimishwa kuwa katika fungu la losers.
Maisha yana maana gani tena kwako. Kama ni kifo wacha wakuue muda huu Dunia ijue na Historia itakuhukumu vyema. Usisubiri ufe kwa uzee au kwa maradhi, ni bora ufe katika mkondo wa mapambano.
Dear Maalim, please and please and please...Ninaongea na wewe Maalim na wafuasi wako. Keep the fighting tight, right?
Kwanini usiondoke tu kuliko kutaka kuwachafulia watu amani yao?Alishababu mpo wapi karibuni mtu hufa mara moja hakuna faida ya kuishi Zanzibar sasa ni jihadi kwenda mbele