Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Dear Maalim and your core supporters, here is your message. Uchaguzi huu ni ama unatangazwa rais kwa gharama yo-yote au unaishia jela maisha. Enough is enough. Usikubali kushindwa kiboya. You have suffered a lot. You have tolerated a hundred dhuruma. Tangu 1995 hadi muda huu mnalazimishwa kuwa katika fungu la losers.
Maisha yana maana gani tena kwako. Kama ni kifo wacha wakuue muda huu Dunia ijue na Historia itakuhukumu vyema. Usisubiri ufe kwa uzee au kwa maradhi, ni bora ufe katika mkondo wa mapambano.
Dear Maalim, please and please and please...Ninaongea na wewe Maalim na wafuasi wako. Keep the fighting tight, right?