kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 628
Huu ndiyo upumbavu wa CCM ya akina Bashiru Raia wa Rwanda
Mwinyi atakuwa Rais wa jwtzcc Polisiccm magerezaccm Uhamiajiccm NECCCM Tumeccm Msajiliccm siyo Rais wa wazanzibarhata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia
Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu ,, tega sikio
Mwinyi atakuwa Rais kwa njia haramu za kishetani na atakuwa ni Rais wa jwtz, Polisi, Uhamiaji, magereza, Msajili, wakurugenzi siyo Rais wa wa ZanzibarSerikali ya CCM mbona inatulazimisha kuipenda kilazima?.
Kama mama yako!Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Kama alivyokuwa dr shainMwinyi atakuwa Rais wa jwtzcc Polisiccm magerezaccm Uhamiajiccm NECCCM Tumeccm Msajiliccm siyo Rais wa wazanzibar
Kaenda kwa sababu kuna maccm yapo vituoni kupiga kura leo asubuhiSafi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Muuweni.Maalim Kuna Jambo analitafuta ...Uzee wake aumalize salama aisee
CCM ndiyo wanaitafuta ICC The Hague siyo maalim seif acha kutengeneza mazingira ya kuwabambikia kesi kesi uonevu kama kawaida yenu CCM ya kishetaniMaalim Kuna Jambo analitafuta ...Uzee wake aumalize salama aisee
Kazi ya Mungu hiyoMuuweni.
Mkuu huko visiwani ni leo na keshoSafi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Jeshi kwa sasa hawafanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria bali wanafanya kazi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi na polepoletunaomba sana damu za watanzania wenzetu zisimwagike, naaamini jeshi letu litashughulikia kila changamoto kwa weledi wa hali ya juu. tunafahamu ktk uchaguzi huwa hapakosi watu wanaopenda kupima nguvu ya dola.
Hiyo Zanzibar CCM mnatakiwa kui handle with care, hizo mbinu zenu za mwaka "47 za kuiba kura zimeshapitwa na wakati, nimeanza kuona picha za maiti huko Zanzibar, huu ni wakati wa kutumia akili sio manguvu yasiyo na maana mtasababisha maafa.