Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huwezi zuia akili za watu kwa mabomu,Kinachoendelea Zanzibar na ukimya wa vyombo vya dola ni kama wameamua kuitoa nchi sadaka
CCM imekufa.Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1611523
View attachment 1611524
View attachment 1611525
Dola imejaribu kutingisha kiberiti.... Maalim alivochimba mkwala tu asubuhi wakaona itakuwa kweli. Naskia wamepanga kuzima internet... kama lengo ni kuzuia habari kutoka nje zitatoka tu na watashangaa zinatokaje.Nassoro Mazrui aibuka mshindi baada ya kuwazidi Maarifa wasiojulikana aendelea kupiga Spana LIVE๐
Thubutu ! Nyomi hiyo ni wachache? Umeambiwa kuwa idadi ya watu waliopo kwenye mkutano huo haijawahi kutokea Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini au una miwani ya mbao? ๐ ๐ ๐Hao waache wajae kwenye hiyo mikutano lakini wakitoka hapo wanaenda kumpigia kura Dr Mwinyi kwani wameshachoshwa na maigizo ya huyo mzee.