Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .

Ushahidi huu hapa

Subpost 3 - Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, Maalim @SeifSharifHamad Ameshawasili  ( 799 X 640 ).jpg

Subpost 1 - Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, Maalim @SeifSharifHamad Ameshawasili  ( 799 X 640 ).jpg


 
CCM wanafanya vurugu kwenye mkutano wa ACT wazalendo huku ZEC/NEC zikikodoa macho.
 
Tayari Dr Shein kisha type hotuba yake ya kumkabidhi Urais Hussein Mwinyi

Tayari Jaji Mkuu wa Znz kisha type kiapo cha Urais kwa kuandika kabisa jina la Hussein Mwinyi

Tayari meli ya kanga na tishert za kumpongeza Mwinyi ishatia nanga baharini

Hasara yote hiyo atalipa nani?
 
Hao waache wajae kwenye hiyo mikutano lakini wakitoka hapo wanaenda kumpigia kura Dr Mwinyi kwani wameshachoshwa na maigizo ya huyo mzee.
 
Nassoro Mazrui aibuka mshindi baada ya kuwazidi Maarifa wasiojulikana aendelea kupiga Spana LIVE👇

Dola imejaribu kutingisha kiberiti.... Maalim alivochimba mkwala tu asubuhi wakaona itakuwa kweli. Naskia wamepanga kuzima internet... kama lengo ni kuzuia habari kutoka nje zitatoka tu na watashangaa zinatokaje.
 
Hao waache wajae kwenye hiyo mikutano lakini wakitoka hapo wanaenda kumpigia kura Dr Mwinyi kwani wameshachoshwa na maigizo ya huyo mzee.
Thubutu ! Nyomi hiyo ni wachache? Umeambiwa kuwa idadi ya watu waliopo kwenye mkutano huo haijawahi kutokea Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini au una miwani ya mbao? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom