Ungepitia post zangu humu ndani usingeuliza swali hili.nilichogundua wewe unafurahisha umma ila uhalisia unao moyoni mwako inawezekana unachojibu hapa ni tofauti na uhalisia wa mambo !
je utafanya hayo kwa huyo tu au una mpango wa kufanya na kwa mwingine ikitokea ???
Siwezi kuogopa walaJf msitu, potezea ilikuwa kikawaida usijeniogopa bure.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] JesusUsiku mwema mrembo mwenye mwili wake[emoji16]
Ungepitia post zangu humu ndani usingeuliza swali hili.
Naomba nisikupe umuhimu kivile, asante kwa kujaribu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bwana hem niache mie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au mazoezi yslibadili?
Uniache tu mwenyeweSikuachi hee nimwachie nani?
Naenda kulala mie[emoji124][emoji124]No ..thank you
Nitaota na mimi nimekuzalia mtoto wa hiari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uniote mamii[emoji16]
Wow ngoja nifanye mchakatoTena wa kwako asiye wa ndotoni ntaishi naye kabisa
Sio mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuufanye pamoja?
HaswaaHii haitakuwa na maswali humu tutapongezwa na sawadi juu[emoji28][emoji28][emoji28]