Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

kama nilivotangulia kusema sijui maisha yako kwa sasa na kama ungeeleza hapa ningekupa ushauri kulingana na upeo wangu ila kwa sasa ngoja nikubaliane na maamuzi yako
Maisha yangu ni ya kawaida lakini sijanyimwa karibu kila hitaji muhimu na Mungu, hayo uliyouliza hapo juu, pigia mstari yote
 
Mtoa mada hongera kwa ufundi wa kujibu maswali na kupangua hoja kwa utulivu kabisa bila paniki[emoji1787][emoji1787]
 
Maisha yangu ni ya kawaida lakini sijanyimwa karibu kila hitaji muhimu na Mungu, hayo uliyouliza hapo juu, pigia mstari yote

basi una moyo mwanaume mwenzangu kama umeamua kulea mimba ya mwanaume mwenzako !

je huyo demu huna wivu naye kabisa kiasi kwamba hata ukikuta ananyanduliwa na njemba nyingine we flesh tu ?

je ikitokea aliyempa mimba akageuka baadae na kudai damu yake kwako flesh tu au utaweka pingamizi ?
 
Mtoa mada hongera kwa ufundi wa kujibu maswali na kupangua hoja kwa utulivu kabisa bila paniki[emoji1787][emoji1787]
Kwanini nipaniki mrembo?
Hawa woote nawajua, 99% wamejaa mentality za kingono ngono, wanafikiri nataka papuchi ya huruma.
Niko imara kuliko jana
 
basi una moyo mwanaume mwenzangu kama umeamua kulea mimba ya mwanaume mwenzako !

je huyo demu huna wivu naye kabisa kiasi kwamba hata ukikuta ananyanduliwa na njemba nyingine we flesh tu ?

je ikitokea aliyempa mimba akageuka baadae na kudai damu yake kwako flesh tu au utaweka pingamizi ?
Boss nisome vizuri;
My concern ni mtoto asiye na hatia.
Nakuapia hata nikute huyo binti analiwa muda huu wala sijali.
Msaada sio mahari eti nikimilikishe.
Mimi nina pis yangu inayonitosha, huyo binti naye ana nyeg..zake lazima akate kiu.
Baba wa mtoto akijitokeza nitafurahi kwani mtoto atapata malezi bora.
Huyu nikimtunza, ninamsaidia Mungu tu kumtunza nothing else.

Nikuulize wewe una watoto?
Umewatoa wapi?
Hakuna mwenye mtoto bali sisi ni walezi ndio maana wakikua wanachagua aina ya maisha yao, kuoa au kuolewa na wawatakao na sio wewe mzazi/mlezi uwachagulie.
Wanaume tubadilike...mnalea wengi mno na ni nyege za wenzenu lkn mnapiga vifua ni wanenu.
Mimi najitoa kulea wa mwenzangu...upo?
Khantwe

luckyline
 
Sio vibaya make asilimia kubwa ya akina baba we are social fathers and few are biological fathers to our/their children.
Kinachomata ni upendo mengine atajua Mungu.
Keep moving bro God'll make a way.
 
Mimi sioni sababu ya kubadilisha ubini wa mtoto uko no kumkossha mtoto haki yake ya kujua asili yake labda kama wewe Una matatizo ya uzazi Ila kama uko vizuri embu mpe mtoto haki yake ya kujua asili yake maana mtu kukataa mimba haiondoi haki ya kupewa mwanae na anaweza kataa mimba Ila mtoto akamkubali sijaona kama umetenda wema apoo maana mama anafanya kazi na anajiweza kiasi chake anyway hongera Kwa ulichokiamua
 
Ahsante, na mimi nimekupenda bure baba mwenye upendo
Nimejaa tele, uwezo na sababu za kupenda ninazo.
Kila kitu kinachofanyika kina sababu nyuma yake Khantwe
1. Nakumbuka marehemu mama yangu alikuwa akiniusia kila mara "mwanangu Mswati52, uwaheshimu wanawake wote wakubwa na wadogo sawa na mimi mama yako, usitamani kuona akilia kwa ajili yako" hili ninaliishi sana.
Baada ya hapo nimeishi katika jamii inayomheshimu sana mwanamke...sio shiti kantri Tanzania hii amabayo kila siku wanawake wanadhalikishwa.
Background yangu inanivuta....hawa wapiga kelele humu nawaacheeeeka tena kwa dharau.
Nina siri nzito moyoni kwa kuwaheshimu wanawake. Nimejaa baraka tele sababu yao.
Nina amani, furaha nk.
Hakuna wa kunitisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio vibaya make asilimia kubwa ya akina baba we are social fathers and few are biological fathers to our/their children.
Kinachomata ni upendo mengine atajua Mungu.
Keep moving bro God'll make a way.
Wewe umenena
 
Nimejaa tele, uwezo na sababu za kupenda ninazo.
Kila kitu kinachofanyika kina sababu nyuma yake Khantwe
1. Nakumbuka marehemu mama yangu alikuwa akiniusia kila mara "mwanangu Mswati52, uwaheshimu wanawake wote wakubwa na wadogo sawa na mimi mama yake, usitamani kuona akilia kwa ajili yako" hili ninaliishi sana.
Baada ya hapo nimeishi katika jamii inayomheshimu sana mwanamke...sio shiti kantri Tanzania hii amabayo kila siku wanawake wanadhalikishwa.
Background yangu inanivuta....hawa wapiga kelele humu nawaacheeeeka tena kwa dharau.
Nina siri nzito moyoni kwa kuwaheshimu wanawake. Nimejaa baraka tele sababu yao.
Nina amani, furaha nk.
Hakuna wa kunitisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Endelea na moyo wako huohuo mkuu wala wasikutishe hawa wapiga kelele wa humu
 
Endelea na moyo wako huohuo mkuu wala wasikutishe hawa wapiga kelele wa humu
Ninachosikitika wspo nawajua personally...id tu imetutenga[emoji16]
Mtu unayejua life yake na sometime anahitaji assist yako lkn hapa mjuuuvi[emoji16]
 
Ninachosikitika wspo nawajua personally...id tu imetutenga[emoji16]
Mtu unayejua life yake na sometime anahitaji assist yako lkn hapa mjuuuvi[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo unawachora tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo unawachora tu
Najitahidi kulinda identity na kulinda sheria za jf na KUHESHIMU watu, vinginevyo hali ya hewa ingechafuka juzi[emoji16]
 
Back
Top Bottom