Nimejaa tele, uwezo na sababu za kupenda ninazo.
Kila kitu kinachofanyika kina sababu nyuma yake
Khantwe
1. Nakumbuka marehemu mama yangu alikuwa akiniusia kila mara "mwanangu Mswati52, uwaheshimu wanawake wote wakubwa na wadogo sawa na mimi mama yake, usitamani kuona akilia kwa ajili yako" hili ninaliishi sana.
Baada ya hapo nimeishi katika jamii inayomheshimu sana mwanamke...sio shiti kantri Tanzania hii amabayo kila siku wanawake wanadhalikishwa.
Background yangu inanivuta....hawa wapiga kelele humu nawaacheeeeka tena kwa dharau.
Nina siri nzito moyoni kwa kuwaheshimu wanawake. Nimejaa baraka tele sababu yao.
Nina amani, furaha nk.
Hakuna wa kunitisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]