Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa mpakani tuwasamehe tu mama maana hata huyo mmoja ni shughuli hivyo maamuzi wanayo wanawake.
Hahahahahha kwa hiyo hamna haja ya kupanga watoto.
Maana idadi inajulikana wakijitahidi sana ni wa 2
 
Hahahahahha kwa hiyo hamna haja ya kupanga watoto.
Maana idadi inajulikana wakijitahidi sana ni wa 2
Kabisa hata hupati stress, na ukihitaji zaidi unavuka boda.
 
Wa kwangu mimi anataka sita tu,Ila bahati nzuri Sana kalenda zinamchanganya,nimejipanga kutia mimba kwa kuvizia tu,mwezi jana nilivizia sikufanikiwa nasubiri mwezi huu nataka saba
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Maamuzi ni ya pamoja.... Binafsi nilikuwa nataka wanne, lakini mwenzangu alitaka wawili ... Tukafikia watatu na ndo tunao
 
Tatizo tukishabeba ujauzito tunakula tu bila mpangilio wowote na tukijifungua ni mitori na supu kwa kwenda mbele, lazima tunenepeane.
Kwa kweli maana Zari ana vichwa tano ila ni mrembo kuliko hata vinara wengi wa kuchoropoa mizigo waliopo hapa mjini.

Getting out of shape doesnt have any connection with bearing babies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…