FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Kuna mahali huonekani... Afu unakuja kusema mashemeji zako😏😏[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali huonekani... Afu unakuja kusema mashemeji zako😏😏[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndiyo hapo sasa.Hawamuoni Zari, Hamisa wamezaa ila bado wako vizuri tu.
Si bora apige ngumi ukuta. Atamwaga maneno mbona wote tutakaa kando.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atarusha ngumi apige ukuta bureee!
Mweeeeh!!
Hahahahahha kwa hiyo hamna haja ya kupanga watoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa mpakani tuwasamehe tu mama maana hata huyo mmoja ni shughuli hivyo maamuzi wanayo wanawake.
Hahahahhahaha halafu analikataa na wakati ndipo msimamo wake ulipo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimependa hilo jina.
Kwa kweli maana Zari ana vichwa tano ila ni mrembo kuliko hata vinara wengi wa kuchoropoa mizigo waliopo hapa mjini.Halafu kisingizo cha kitoto ha ha ha ha
Ewaaaah. Sasa kama pesa unazo basi ni kufyetua tuu?Naam nafuatilia mjadala huu kwa makini....ila kwa hili muamuzi ni pesa tu. Si mwanamke wala mwanamume
Maamuzi ni ya pamoja.... Binafsi nilikuwa nataka wanne, lakini mwenzangu alitaka wawili ... Tukafikia watatu na ndo tunao
Aaah Mimi nilikuwa nauliza tuu jamani.Kwamba borders zinahinder au wageni wengi?
Kwa kweli maana Zari ana vichwa tano ila ni mrembo kuliko hata vinara wengi wa kuchoropoa mizigo waliopo hapa mjini.
Getting out of shape doesnt have any connection with bearing babies.