Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Mwanaume ndo anapanga watoto wangapi mzae, huwezi ukataka watoto saba wakati mshahara wako unatosha kuwahudumia watoto wawili tu.
 
Nadhani pia na uzazi unachangia au malengo .
Maana matajiri wengi huwa wana watoto wachache sana. Sasa sijui ndiyo siri ya utajiri.

Lakini sie akina nanilii watoto tunajaza Kimbinyiko na bado hata kuwasomesha , chakula mavazi na malazi hatuwezi.
Sasa kama mke mzuri kama wewe unafanyaje kama sio kutengeneza new pipo in town😂?

Mtoto hachoshi na hela ipo vizuri, ni mwendo wa pachu pachu kwa ukaliii!
 
Apa kama vile umeweka mfumo dume haya mambo ni watu wawili sio mwanaume tu kumbuka we unatoa mbegu tu[emoji41][emoji41]
as long as tutaendelea kutoa mahari hili tuwaoweni nyinyi, mfumo dume haukwepeki mkuu.

Hivi unafahamu ninapotoa mahari nakuwa ni kama nimepewa umiliki kwako, sasa kivipi nipangiwe nini cha kufanya na kitu ambacho ni mali yangu?
 
Cha msingi ni kwamba wote walipanga idadi fulani kwanza.
Tunapanga huku tunamwomba Mungu awezeshe, mengine ni mipango yake.
 
Yaani sijui walitoa wapi hiyo formula ya mtori[emoji23][emoji23]
Bad dieting, hivi wachaga nani alisema mtori ndio chakula cha mzazi tu jamani halafu ikawa kama SI Unit ya walojifungua wote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
Duuh hadi Ugali mafuta? Mimi ningekataa[emoji3]
 
Sijui unaongelea aina gani ya familia?
Ikiwa ni patrineal, basi muamuzi hapo ni baba.
Kitu kingine kwenu wanawake acheni kuzibiana riziki kuna wanawake wanaweza kufyatua watoto kama matofali waachieni hao hizo ndoa.
Wewe uliambiwa mapema watatu mkakubaliana tena unaleta hadithi.
Mnajua madhara ya kuoa mke wa pili kama hukupanga?
Pumbavu sana

Unapoolewa umeenda kuzaa, kutengeneza familia sio lingine,
Huyo anatakiwa apigwe suspension siku akirudi anamkuta mwengine mjamzito ndani na ndoa imefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…