Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mke mzuri kama wewe unafanyaje kama sio kutengeneza new pipo in town😂?Nadhani pia na uzazi unachangia au malengo .
Maana matajiri wengi huwa wana watoto wachache sana. Sasa sijui ndiyo siri ya utajiri.
Lakini sie akina nanilii watoto tunajaza Kimbinyiko na bado hata kuwasomesha , chakula mavazi na malazi hatuwezi.
[emoji1912]Hebu nikumbushe.
Hapo sio kichwa bali kiwili wili.Tutafanyaje sasa[emoji134]
Mdomo uliponza kichwa.
Eti enh? Unasema uongeze vingine halafu vinatoka vibayaaa bado utaendelea kukariri?Watoto wakiwa wazuri lazima uzidi kushawishika katika kuongeza uzao
Hahahaahahahah!Unamkimbia hadi huyu? Haujui wewe ni miongoni mwa wana jf anawakubali?
Don't ppllllllz
Huwa nashangaa sana,unakuta mtu ana uwezo wa kuwatunza hata watoto 100 lakini anakuwa nao wawili tu au wa nne (Mengi &Obama)Hongera mkuu.
Hahah sasa mtakula popcorn au, mtori unapiga week za mwanzo kisha unaukachaSiku hizi wengi wamestuka hawataki hayo mambo.
as long as tutaendelea kutoa mahari hili tuwaoweni nyinyi, mfumo dume haukwepeki mkuu.Apa kama vile umeweka mfumo dume haya mambo ni watu wawili sio mwanaume tu kumbuka we unatoa mbegu tu[emoji41][emoji41]
Tafuta pesa mamaaaaaaSasa conclusion ni ipi?
Tutafute pesa?
Cha msingi ni kwamba wote walipanga idadi fulani kwanza.Uko sahihi kabisa idadi ya watoto watu wanayopata ni Mungu ndo anayeipanga maana kuna watu wanapanga kuzaa watoto wawili lakini katika tendo wanajikuta mimba nyingine zinaingia na hawawezi kutoa hivyo wanaendelea kuzaa tena pia kuna watu mimba nyingi wanazopata zinatoka wanajikuta katika mimba sita walizopata nne zimetoka na mbili ndo zimekubali kuzaliwa
Na kuna watu wanapanga wazae watoto nane lakini wanapata wanne au pungufu halafu vizazi vinapata matatizo na wanashindwa kuendelea kuzaa tena au pia wanaweza kuzaa hao watoto nane kama walivyopanga lakini wawili au zaidi wanakufa wakiwa wadogo kwahiyo hata mimi naona ni Mungu ndo anayepanga maana kila mtu anazaliwa na kusudi lake hapa duniani
Bad dieting, hivi wachaga nani alisema mtori ndio chakula cha mzazi tu jamani halafu ikawa kama SI Unit ya walojifungua wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh hadi Ugali mafuta? Mimi ningekataa[emoji3]Umenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
Sijui unaongelea aina gani ya familia?Wanajf kuna jambo limenifanya niilete hii mada kwenu.
Kuna kaka alihitaji na alipendelea kuwa na watoto watatu, na walikubaliana na mkewe wawe na watoto watatu Mungu akiwajaalia.
Baada ya mkewe kujifungua mtoto wa pili akamwambia mumewe asingeweza kwenda leba tena(alijifungua kwa njia ya kawaida na hakukuwa na complications zozote).
Mume alihisi ni kwavile ametoka kujifungua ndio maana anasema hivyo, lakini baada ya miaka mi4 kupita bado msimamo wa mkewe ni uleule, amemwambia ikiwa ni lazima apate huyo mtoto wa tatu anamruhusu kwa roho safi tu akamtafute.
Naomba kuwauliza haswa wanandoa, maamuzi ya idadi ya watoto mnaohitaji kuwa nao huwa ni ya nani? And how if kila mmoja akawa na idadi yake ya watoto anaohitaji inayotofautiana na mwenzie?
Na wanawake utafanya nini ikiwa mumeo anahitaji idadi kubwa ya watoto tofauti na matakwa yako?