Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Umeandika vya maana
 
Dada hata uzae kila mwaka hapawazuii kuzaa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine wanataka wajaze dunia na hela ya kulea watoto hawana.

Naomba Msemaji mkuu wa wanawake (utani ) Edelyn akitoa mawazo yake uniite.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Edelyn sijamuona kabisa leo, itakuwa naajiandaa na w.end.

Yaani hao ambao huwa wanataka idadi kubwa ya watoto huku yeye mwenyewe hajiwezi ndio huwa siwaelewi kabisaaa.
 
Kwani comment ile umeiona??? You have wrongly understood me[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe unadhani jibu langu la kibabe lime base wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…