Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Nani anakimbia mtoto?? Hao hawajielewiDuuuuh!!
Mbona una muda huwa mnawakimbia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anakimbia mtoto?? Hao hawajielewiDuuuuh!!
Mbona una muda huwa mnawakimbia?
Kama ni mwanamke alie ajiriwa ni vyema mwanaume uwe msikivu kwa mwenzako pale anaposema mzae kwa mpango...koz wanawake wanapitia changamoto nyingi sana anapokua na watoto wengi huku pia kazi zinamsubiri, huwezi kumwambia mkeo akae nyumbani tu akuzalie kuna kesho unaeweza ukaondoka hapa duniani ukamuacha kwenye kipindi kigumu ...mwanaume muelewa ataelewa hili
Umemuita huyo?? Haya kwaherini jamani ngoja nkatafute uzi mwengine kwanzaDada hata uzae kila mwaka hapawazuii kuzaa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine wanataka wajaze dunia na hela ya kulea watoto hawana.
Naomba Msemaji mkuu wa wanawake (utani ) Edelyn akitoa mawazo yake uniite.
You make money, and you make rule!!!Hapa namba inasomeka yaani
Wakaanza kutaka wajukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wazazi wanaingiliaje jamani?
si ndo apoKwani wewe ndo unayebeba mimba na kwenda leba?
Asante kwa kuja nimetoka kukuulizia sasa hivi.Kwani wewe ndo unayebeba mimba na kwenda leba?
Kwani comment ile umeiona??? You have wrongly understood me😀😀😀😀😀You make money, and you make rule!!!
Naomba nitafsirie hapa.
Au unamaanisha kwamba pesa zako zitakufanya uishi vile unavyotaka? What about us?
Hahaahahah unaenda wapi, nijibu swali langu kwanza.Umemuita huyo?? Haya kwaherini jamani ngoja nkatafute uzi mwengine kwanza
Dada hata uzae kila mwaka hapawazuii kuzaa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine wanataka wajaze dunia na hela ya kulea watoto hawana.
Naomba Msemaji mkuu wa wanawake (utani ) Edelyn akitoa mawazo yake uniite.
Nimeiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe unadhani jibu langu la kibabe lime base wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani comment ile umeiona??? You have wrongly understood me[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ntakujibu lakini sio hapaHahaahahah unaenda wapi, nijibu swali langu kwanza.
Bwana wee lazima ujivunie mke wako[emoji23][emoji23]kumbe we unapenda sabbu ya sifa