Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Eti enh? Unasema uongeze vingine halafu vinatoka vibayaaa bado utaendelea kukariri?
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji849][emoji849]
 
Huwa nashangaa sana,unakuta mtu ana uwezo wa kuwatunza hata watoto 100 lakini anakuwa nao wawili tu au wa nne (Mengi &Obama)
Maybe anaona hao ndio arawahudumia vizuri kwa nafasi maana matunzo ya watoto sio pesa tu, na muda wako wanauhitaji.
 
Umenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
Aisee akitoka hapo presha inapiga hodi.
 
Sijui unaongelea aina gani ya familia?
Ikiwa ni patrineal, basi muamuzi hapo ni baba.
Kitu kingine kwenu wanawake acheni kuzibiana riziki kuna wanawake wanaweza kufyatua watoto kama matofali waachieni hao hizo ndoa.
Wewe uliambiwa mapema watatu mkakubaliana tena unaleta hadithi.
Mnajua madhara ya kuoa mke wa pili kama hukupanga?
Pumbavu sana
Duuuh!! Mkuu umeamua umalizie na tusi[emoji134][emoji134]
 
Binafsi niko tayari mume anipangie watoto anao wahitaji na ajue kunipa huduma nzuri sio nizae timu ya mpira huku nachakaa nitaishia mmoja naenda kufunga kizazi.
Safi sana mama.
 
Back
Top Bottom