Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Kuzaa kunamfanya mwanamke achoke Mkuu??

Sidhani, mwanamke akiwa na nidhamu ya kula na mazoezi toka akiwa na mimba mpaka kujifungua hata azae watoto 4 shape inabaki pale pale.
Bora umempa elimu huyu Kiumbe.
 
Eti enh? Unasema uongeze vingine halafu vinatoka vibayaaa bado utaendelea kukariri?
ha ha ha ha ndio maana tunashauriwa tuchague mbegu bora;kama shambani tunachagua mbegu bora,mifugo tunachagua mbegu bora.....je sisi binadamu tumekuwa kina nani tusichague mbegu bora?
 
Yeleuwiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134]
Hapana jamani, tunatakiwa tudilute kidogo ili hali ya hewa isichafuke. Msitufanyie hivyo.
ha ha ha ndio mnapata watoto mnaanza kuwakataa.....katoto kakiwa kazuri unatamani hata kwenda naye kazini au katika mihangaiko yako,tofauti na hapo mnaanza kurushiana maneno nani ambebe mtoto..
 
Mwanamke anakuwa ni mshauri mkuu wa mwanamme na ni mtunzaji wa watoto! Mnajifanya watu wa dini halafu majukumu yenu ya kidini hamyataki.
Sasa mkeo hawezi kukushauri ubadilishe maamuzi ya idadi ya watoto unaowataka? Unajua Mungu alisema mwanaume amtawale mwanamke akaishia hapo lakini kumbuka kuna aina tatu za utawala kuna Dictatorship, Democracy na Laissez-Faire na Mungu hakuwaambia wanaume mtumie ipi

Lakini wakristo wengi tunaamini kwamba alitaka mtumie kama anayoitumia yeye katika kututawala sisi hivi unajua kwamba Mungu anatumia Democracy katika kututawala binadamu hata yeye anataka tumtii lakini bado katupa uhuru na naweza kusema katika viumbe vilivyopewa uhuru mbinguni na duniani ni binadamu na ndo maana tunatenda dhambi

Lakini hata malaika hawana huu uhuru kama tuliopewa sisi wao kila wanachoambiwa wanatakiwa kukubali na ndo maana hawatendi dhambi lakini sisi binadamu tumeambiwa vingapi na Mungu na tumekataa na anatusamehe?

Sasa ninyi wanaume mnadhani kwamba kwa sababu eti sisi tumeambiwa tuwatii basi ndo tunatakiwa kukubali kila kitu mnachosema na hatutakiwi kuwapinga hapana haiko hivyo sasa hapa najua tunaweza tukabishana kwa sababu ya utofauti wa imani zetu ila mimi sitaki kubishana mimi nimekwambia tu hivyo kutokana na mafundisho ya kikristo ila kama uislam umewafundisha wanaume muwatawale wake zenu kupitia Dictatorship basi sawa haina shida
 
ha ha ha ha mkuu una imani sana.....
 
Good shape depends on nature and money.
.
For the money a woman is capable of doing surgery to remove belly, fallen soldiers, back fat etc.
Kwa kweli maana Zari ana vichwa tano ila ni mrembo kuliko hata vinara wengi wa kuchoropoa mizigo waliopo hapa mjini.

Getting out of shape doesnt have any connection with bearing babies.
 
Back
Top Bottom