Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Mfano upo hapa hapa kwenye huu uzi ni mmoja tu aliwahi panda tahmeed na hajapanda tena mpaka leo na ni watu wawili au watatu ndio waliotoa coment kuzijua izi basi...wengi wanakimbilia bm kilimanjaro mara osaka [emoji3]
Mkuu mimi nilipanda hilo bus toka Dar kwenda Tanga, lakini bado sikupata the real comfort ya luxury bus kama za wenzetu ughaibuni, hiyo unayosema inaonjeshaonjesha tu kiongozi
 
Ila nachomkubali shabiby ana basi nyingi zenye choo ndani......na ni muuzaji mzuri tu akishalitumia miaka kadhaa na kulichoka
Kweli kabisa hakai na gari mda mrefu, Kuna faida yake akishaipiga tu analitoa chap kabla halijaanza kudai spare/ gereji
 
Wild Boy kwa hiyo mzee Kilimanjaro vs Tahmeed ngap ngap kulingana na wadau na picha huku?

Binafsi nimeikubali sana Tahmeed asee hawa jamaa wako vizuri
 
Luxury bus ni basi lenye huduma za anasa yaani luxury. Upya wa basi sio suala la lazima. Not necessary!

Huduma za anasa ni kama vile; Wi-Fi, kiyoyozi (AC), chakula na vinywaji, runinga, kitanda cha kulala, maliwato n.k.
Mbna ma bus mengi hayana maliwato wala sehemu ya kulala.?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipindi fulani yalikua yanaenda mwanza, tobaaaaah hadi kunguni na chawa wamejaa kwenye seat ngooooh. Khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hapa umenena kabisaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
huku bongo basi likiwa na uwezo wa kugawa soda na biskuti linakuwa Luxury

Gari la sifa izo tz halipo, magar meng ni semi luxury
 
Kuna bus nimepanda na wasukuma, nimewekwa katikati wanatupiana maneno na wenzao wa siti ya mwisho, mara kitoto chao kinikanyage, kinipake mafuta ya maandazi yaani tafrani, wananunua kila chakula njiani hadi kitoto kikanya, tabu tupu.
 
Kwani kuna bus gani luxury la kwenda simiyu, mana wasukuma ni karaha kwelikweli, yanaongea kwa nguvu uku yanatafuna maindi ya kuchoma na miwa.
aah sure mzee kuna route nyingine zimekaa kushoto sana kama hiyo ulosema ,sema mara mojamoja sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…