Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.
HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.
Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.
Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc
Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.