Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana bro.Haswaaaaa.... Nashangaa tunaoendelea kuzipigania bila ya kujua tunapigania matamanio ya mtu binafsi
Daah Hivi inakuwaje mtu anashika sila eti anamuua mwenzake kisa ameambia na mwengine eti akifanya hivyo ataenda mbiguni na atapewa starehe ya milele, ww nae unaamini.Inashangaza sana bro.
Si ndio wewe sasa. Tapeli.
Kinachonishangaza bora wangekua wanafuata maandiko..Daah Hivi inakuwaje mtu anashika sila eti anamuua mwenzake kisa ameambia na mwengine eti akifanya hivyo ataenda mbiguni na atapewa starehe ya milele, ww nae unaamini.
Ndio maana hata hawa kiboko ya wachw wanaendeleea kula hela za watu kwa sababu mambo ya kufikiria fikirika.
Exactlly, na sababu kuu ni kwamba Mungu wao amekataza kuua/kuuana/vita ...Wakristo mnapenda sana kujiingiza katika vita ya mashariki ya kati laki ukweli ni kwamba hiyo vita haiwahusu hata kidogo
Hivi Magaidi wanapo tuua Wakristo bila sababu huoni kuwa wanania mbaya nasi ?Hua nashangaa sana wakristo kuiombea Israeli ishinde vita huku biblia yao inakataza kuua, inafundisha kujishusha na kusamehe !!
Dini ni biashara!!
HaswaaaaaHivi Magaidi wanapo tuua Wakristo bila sababu huoni kuwa wanania mbaya nasi ?
Au umesahau lile tukio la Garissa Kenya ?
Kuwa A-Shababu waliwatenga Wakristo na Waislamu na wakawapiga risasi Wakristo ?
Munajitoa ufamu sio,
Magaidi wa Kiislamu ni Anti-Christ. Hawana Msamaha kwa Wakristo.
Mnajifanya kuwapenda kinafki Wakristo wakati maandiko yenu yanawafundisha tofauti kabisa na tunawajua.
۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
[ AL - MAIDA - 51 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Mimi huwa nawauliza ni Mungu yupi huyo wanaemtukuza????Hivi Magaidi wanapo tuua Wakristo bila sababu huoni kuwa wanania mbaya nasi ?
Au umesahau lile tukio la Garissa Kenya ?
Kuwa A-Shababu waliwatenga Wakristo na Waislamu na wakawapiga risasi Wakristo ?
Munajitoa ufamu sio,
Magaidi wa Kiislamu ni Anti-Christ. Hawana Msamaha kwa Wakristo.
Mnajifanya kuwapenda kinafki Wakristo wakati maandiko yenu yanawafundisha tofauti kabisa na tunawajua.
۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
[ AL - MAIDA - 51 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Qurani ni Anti-Christ.Mimi huwa nawauliza ni Mungu yupi huyo wanaemtukuza????
Aiseeee inafikirisha sanaQurani ni Anti-Christ.
Kutwa kucha kazi yake ni kulaani Ukristo na Uyahudi.
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Fikiria Allah anamwomba Mungu awaangamize Wakristo na Wayahudi kwa sababu za Kitoto kabisa.
Kwani kusema Masihi ni Mwana wa Mungu kuna wadhuru nini Waislamu ?
Qurani ni Nonsense Book.
Umeongea Short sana na watu watapinga ila Ukweli ndio huo. Wanatumia Dini kutafuta uungwaji mkono. Utashangaa Mkiristo wa Tanzania anaiunga mkono Israel wakati hata Israel haina habari nao. Au Waislam kuunga mkono HizbollahMuda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.
HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.
Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.
Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc
Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.
Wakristo tupo Nyuma ya Waisraeli kwakuwa tunajua fika kama itatokea Waislamu wa Siasa kali wakachukua mamlaka na kusimika utawala wa Kiislamu duniani basi wahanga wakubwa watakuwa Wakristo na Wayahudi.Aiseeee inafikirisha sana
Huyu alie mtuma Sauli kuua mtoto tena mpaka kondoo nae alikuwa muislamu, ebu acha kutetea kila kitabu kimetoa maelezo ya watu KUUA WENGINEHivi Magaidi wanapo tuua Wakristo bila sababu huoni kuwa wanania mbaya nasi ?
Au umesahau lile tukio la Garissa Kenya ?
Kuwa A-Shababu waliwatenga Wakristo na Waislamu na wakawapiga risasi Wakristo ?
Munajitoa ufamu sio,
Magaidi wa Kiislamu ni Anti-Christ. Hawana Msamaha kwa Wakristo.
Mnajifanya kuwapenda kinafki Wakristo wakati maandiko yenu yanawafundisha tofauti kabisa na tunawajua.
۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
[ AL - MAIDA - 51 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
We unataka wanyenyekee na kujishusha kisa wazee wa madevu wanawauwa vp dini ya kiislamu inaruhusu kuua ndo maana mkaanzisha makundi ya kigaidi kama alishabab?Hua nashangaa sana wakristo kuiombea Israeli ishinde vita huku biblia yao inakataza kuua, inafundisha kujishusha na kusamehe !!
Dini ni biashara!!
mimi nafikiri ni kutokuelewa ,habari ikiletwa humu kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni yake, sasa wewe unaesoma hayo maoni unaruhusiwa kuelewa unavyotaka, kama , ukisema na unga mkono Israel sawa na ukisema naunga mkono Hizbollah sawa , kwasababu hayo yatabaki maoni yako piaUmeongea Short sana na watu watapinga ila Ukweli ndio huo. Wanatumia Dini kutafuta uungwaji mkono. Utashangaa Mkiristo wa Tanzania anaiunga mkono Israel wakati hata Israel haina habari nao. Au Waislam kuunga mkono Hizbollah
Ishu ni kuunga mkono kiasi cha kupandikiza chukimimi nafikiri ni kutokuelewa ,habari ikiletwa humu kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni yake, sasa wewe unaesoma hayo maoni unaruhusiwa kuelewa unavyotaka, kama , ukisema na unga mkono Israel sawa na ukisema naunga mkono Hizbollah sawa , kwasababu hayo yatabaki maoni yako pia
wewe unafikiri Waisrael wameanza kuua leo , Biblia imewapa ruhusa waisrael kuua kila kitu hata watoto wadogo na wajawazito, kwahiyo hii ni ideology yao waisraelWe unataka wanyenyekee na kujishusha kisa wazee wa madevu wanawauwa vp dini ya kiislamu inaruhusu kuua ndo maana mkaanzisha makundi ya kigaidi kama alishabab?