Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.

HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.

Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.

Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc

Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.

israil anammaliza hezbola kama alivommaliza hamas,,na sasa ameshaanza kumchapa waasi wa houth!!! baada ya hapo anaenda kuichapa IRAN!!,,,,,,takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir!!!!
 
We unataka wanyenyekee na kujishusha kisa wazee wa madevu wanawauwa vp dini ya kiislamu inaruhusu kuua ndo maana mkaanzisha makundi ya kigaidi kama alishabab?
Usiniquote tofauti, Mimi siamini dini yeyote, hayo yote kuhusu dini na hiyo vita ni props,

Hii vita haihusiani na dini, hawa ni SDA ndio walianzisha hizi propaganda!!
 
Hapana hatuongeleai CCM hapa au mie ndio sijaelewa mada? Tunaongelea Hizbollah na Israel
Tuna ongelea Watanzania hapa, kuwa hakuna chuki wataleta, ni uhuru tu wa kutoa maoni iwe kwenye suala la Israel au Hizbollah
 
Huyu alie mtuma Sauli kuua mtoto tena mpaka kondoo nae alikuwa muislamu, ebu acha kutetea kila kitabu kimetoa maelezo ya watu KUUA WENGINE
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
Mi naongelea kinachoendelea kwa sasa.
Huyo Ameleki kwa sasa sijui tumtafute wapi.
Kwa sasa nawaona Waislamu Wayahudi na Wakristo.

Waislamu na Wayahudi Vita vinaendelea.
Wakristo tunauliwa na Magaidi wa Kiislamu kila wanapopata fulsa.

Fundisho hili linahamasisha vita vya Waislamu na Wayahudi bila sababu na wanaendelea kupigana muda huu huku wasio na hatia wakiendelea kuuliwa.
Sahih al-Bukhari 2926
Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."

Ugonvi wa Waisraeli na Waislamu huko Mashariki ya Kati ni wa Kidini na sio mambo ya Ardhi.
Na unahamasishwa na maandiko ya Kidini kama Hilo hapo juu.

We endelea kumtafuta Ameleki Kuna watu wanauliwa huko kila siku.
 
Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.

HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.

Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.

Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc

Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.

Waarabu wa syria wanashangilia kufa kwa uyo kiongozi sijui aliwafanya nn
 
Hivi Magaidi wanapo tuua Wakristo bila sababu huoni kuwa wanania mbaya nasi ?
Au umesahau lile tukio la Garissa Kenya ?
Kuwa A-Shababu waliwatenga Wakristo na Waislamu na wakawapiga risasi Wakristo ?

Munajitoa ufamu sio,
Magaidi wa Kiislamu ni Anti-Christ. Hawana Msamaha kwa Wakristo.
Mnajifanya kuwapenda kinafki Wakristo wakati maandiko yenu yanawafundisha tofauti kabisa na tunawajua.
۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
[ AL - MAIDA - 51 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Hivyo vitabu vyote umeviquote na hiyo biblia , siviamini vyote!!
 
Ivi kwa hali ya kawaida tu, ikitokea majambazi wakakuvamia kwako, utawaacha wakutende vibaya kisa Biblia imesema usiue ?

Hayo makundi yanayorusha makombora ya kichokozi kwa Israel yana tofauti gani na majambazi wanaofanya Uvamizi kwenye nyumba za watu ?
 
Mi naongelea kinachoendelea kwa sasa.
Huyo Ameleki kwa sasa sijui tumtafute wapi.
Kwa sasa nawaona Waislamu Wayahudi na Wakristo.
Waislamu na Wayahudi Vita vinaendelea.
Wakristo tunauliwa na Magaidi wa Kiislamu kila wanapopata fulsa.
Fundisho hili linahamasisha vita vya Waislamu na Wayahudi bila sababu na wanaendelea kupigana muda huu huku wasio na hatia wakiendelea kuuliwa.
Sahih al-Bukhari 2926
Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."

Ugonvi wa Waisraeli na Waislamu huko Mashariki ya Kati ni wa Kidini na sio mambo ya Ardhi.
Na unahamasishwa na maandiko ya Kidini kama Hilo hapo juu.
We endelea kumtafuta Ameleki Kuna watu wanauliwa huko kila siku.
Hakuna ugomvi wa kidini pale kati ya Israel na zile nchi, isipo kuwa kila mtu anatumia mbinu zake kutafuta wapiganaji ndio maana kuna vikundi vingi tu ,halafu suala la Amaleki kumtafuta wapi kwani mimi nimempata wapi mpaka nikamleta hapa?
 
Ivi kwa hali ya kawaida tu, ikitokea majambazi wakakuvamia kwako, utawaacha wakutende vibaya kisa Biblia imesema usiue ?

Hayo makundi ya kigaidi yanayorusha makombora ya kichokozi kwa Israel yana tofauti gani na majambazi wanaofanya Uvamizi kwenye nyumba za watu ?
Sasa kuna uhusiano gani ya kati ya Mungu anaechukia vita na Taifa la Israeli?
 
Wakristo mnapenda sana kujiingiza katika vita ya mashariki ya kati laki ukweli ni kwamba hiyo vita haiwahusu hata kidogo
Sio hivyo tu nyie wakristo na waislamu wote mnachukiana na mnashindana Mungu wa nani ana nguvu kupitia hivyo vita 🚮🚮🚮🤫
 
Mungu Allah vs Mungu Jehovah!! Wanaingizia udini mpaka kwenye vita na Mungu wao wote amekataza kuua!!

Nonsense 😡
 
Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.

HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.

Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.

Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc

Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.

Ujue Waisraili hawaitambui Bibilia na Telaviv hakuna kanisa jua wazi hizo ngoma zako unazopiga utacheza mwenyewe shobo zako kwa mayahudi unajitekenya mwenyewe ukicheka mwenyewe hawautambuii Ukristo .Wajinga wengi wakristo wanawashobokea waisraili na ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom