Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Hezbollah kuna mtu anawachoma au Israel wanasema ukweli kuwa walianza kuwafuatilia vita vya syria vilipoanza.. kila member wa alijazeera anapoishi anapokunywa kahawa, anatumia gari gani, anajificha wapi ana mademu wangapi n.k so now Israel anajipigia tu one by one two by two twenye by twentu kilahisi mno... inashangaza