Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

Ujue Waisraili hawaitambui Bibilia na Telaviv hakuna kanisa jua wazi hizo ngoma zako unazopiga utacheza mwenyewe shobo zako kwa mayahudi unajitekenya mwenyewe ukicheka mwenyewe hawautambuii Ukristo .Wajinga wengi wakristo wanawashobokea waisraili na ujinga wenu.
Kabisa upo sahihi ,pia hata waislamu waarabu hawana shobo na waislamu wamatumbi
 
Mungu anaweza akawa anapenda na kuchukia Vita kwa sababu fulani.
Mungu pia amewahi kumtuma Jesus Christ kwenda kufanya Vita na jeshi la kuzimu na kumnyang'anya Shetani funguo za mamlaka.
Hakuna sababu inaitwa fulani, sababu ipi hiyo?
 
Ujue Waisraili hawaitambui Bibilia na Telaviv hakuna kanisa jua wazi hizo ngoma zako unazopiga utacheza mwenyewe shobo zako kwa mayahudi unajitekenya mwenyewe ukicheka mwenyewe hawautambuii Ukristo .Wajinga wengi wakristo wanawashobokea waisraili na ujinga wenu.
Hata waislamu waarabu hawanaga shobo na waislamu wazaramo tena wanawachukia hatari
 
Mungu wa dini zote ye mwenyewe anashindwa kufuata sheria, Nyinyi mnaomuamini mtawezaje?

Ndio mana mnaingizia dini kwenye mambo ambayo hayawahusu, Sheria zenu hazihusiani na vita.
 
Hakuna taifa au mtu au kitu chochote kisichokuwa cha Mungu. Bali malengo yanapishana Mungu anakitumia kwa madhumuni gani.

Binadamu una uhuru wa kuchagua tofauti na mti.

Bila shaka ukimaanisha mataifa yote ni ya Mungu ..
 
Kwanza unatakiwa ujue hilo jina la shetani ni la kulaaniwa, kabla ya hapo huyu angel alikuwa akiitwa Lucifer na Biblia inasema alikuwa kiongozi wa sifa huko heaven.

Kwahiyo alikuwa na madaraka flani ivi, hakuwa tu malaika wa kawaida Kama malaika wengine.

Kwahiyo kuhusu hilo swali lako la kwamba alipataje access ya kuiba funguo za Sir God ni kwamba alitumia hayo hayo madaraka kuwa karibu na God na kujua baadhi ya Siri zake. Na baade kutekeleza jambo alilo panga yeye.

Ni Kama tu shuleni ambapo kiongozi wa wanafunzi anaweza kuingia kwenye ofisi ya Mwalimu kwa urahisi zaidi kuliko wanafunzi wengine na kufanya upekuzi wa baadhi ya mambo ( Kama Mwalimu hayupo).
 
Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.

HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.

Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.

Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc

Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.

Hizbollah maana yake Njia ya Mwenyezi Mungu.
 
Qurani ni Anti-Christ.
Kutwa kucha kazi yake ni kulaani Ukristo na Uyahudi.
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Fikiria Allah anamwomba Mungu awaangamize Wakristo na Wayahudi kwa sababu za Kitoto kabisa.
Kwani kusema Masihi ni Mwana wa Mungu kuna wadhuru nini Waislamu ?
Qurani ni Nonsense Book.
Allah anamwomba MWENYEZI MUNGU kwahiyo Allah siyo MUNGU?
 
Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani.

HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka.

Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili kuhujumu amani na utulivu wa dunia hii haswa kwa wayahudi, wakristo na waislam wasioendana na itikadi yao.

Ni aibu kuwa muislam alie Tanazania na Mwarabu aliepo popote duniani eti wana ilaumu na kulaani Israel na magharibu kwa ukatili lakini mnasahau kuwa adui wenu wa kwanza ni Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, etc

Hakuna cha harakati wala nini, ni ugaidi tu ulio bebishwa kwa watu kwa kivuli cha dini ili wapate wafuasi wengi.

Adiosamigo anadai Nasrallah kasalitiwa na Ayatollah kwa thamani ya mkataba mpya wa Nyuklia...😃😃😃
 
Thereis no God but Allah Muslim hawaamini Mungu
 
Back
Top Bottom