Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

Kabisa upo sahihi ,pia hata waislamu waarabu hawana shobo na waislamu wamatumbi
 
Mungu anaweza akawa anapenda na kuchukia Vita kwa sababu fulani.
Mungu pia amewahi kumtuma Jesus Christ kwenda kufanya Vita na jeshi la kuzimu na kumnyang'anya Shetani funguo za mamlaka.
Hakuna sababu inaitwa fulani, sababu ipi hiyo?
 
Hata waislamu waarabu hawanaga shobo na waislamu wazaramo tena wanawachukia hatari
 
Mungu wa dini zote ye mwenyewe anashindwa kufuata sheria, Nyinyi mnaomuamini mtawezaje?

Ndio mana mnaingizia dini kwenye mambo ambayo hayawahusu, Sheria zenu hazihusiani na vita.
 
Hakuna taifa au mtu au kitu chochote kisichokuwa cha Mungu. Bali malengo yanapishana Mungu anakitumia kwa madhumuni gani.

Binadamu una uhuru wa kuchagua tofauti na mti.

Bila shaka ukimaanisha mataifa yote ni ya Mungu ..
 
Kwanza unatakiwa ujue hilo jina la shetani ni la kulaaniwa, kabla ya hapo huyu angel alikuwa akiitwa Lucifer na Biblia inasema alikuwa kiongozi wa sifa huko heaven.

Kwahiyo alikuwa na madaraka flani ivi, hakuwa tu malaika wa kawaida Kama malaika wengine.

Kwahiyo kuhusu hilo swali lako la kwamba alipataje access ya kuiba funguo za Sir God ni kwamba alitumia hayo hayo madaraka kuwa karibu na God na kujua baadhi ya Siri zake. Na baade kutekeleza jambo alilo panga yeye.

Ni Kama tu shuleni ambapo kiongozi wa wanafunzi anaweza kuingia kwenye ofisi ya Mwalimu kwa urahisi zaidi kuliko wanafunzi wengine na kufanya upekuzi wa baadhi ya mambo ( Kama Mwalimu hayupo).
 
Hizbollah maana yake Njia ya Mwenyezi Mungu.
 
Allah anamwomba MWENYEZI MUNGU kwahiyo Allah siyo MUNGU?
 
Adiosamigo anadai Nasrallah kasalitiwa na Ayatollah kwa thamani ya mkataba mpya wa Nyuklia...😃😃😃
 
Thereis no God but Allah Muslim hawaamini Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…