Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

Hezbollah kuna mtu anawachoma au Israel wanasema ukweli kuwa walianza kuwafuatilia vita vya syria vilipoanza.. kila member wa alijazeera anapoishi anapokunywa kahawa, anatumia gari gani, anajificha wapi ana mademu wangapi n.k so now Israel anajipigia tu one by one two by two twenye by twentu kilahisi mno... inashangaza
 
Naunga mkono hoja, Hizbullah ( hizbshetani) ni kikundi cha wahuni wala hawa uwakilishi uislamu kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…