Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nilie kwani wanawake wameisha?

Nitaoa hata kila siku. lakini siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra.

Mwanangu hawezi zaliwa na mwanamke asiye msafi. Hilo haliwezekani
Toa way forward, Hizo bikra tunazipata wapi?
 
We km sio bikra tulia, maana unaforce Sana watu tuone demu asiye bikra n kawaida tuu
Sija force mtu ni mtazamo wangu Kama wewe ulio na wako shida iko wapi?
Wanaume wa sikuhizi akili mumepeleka wapi low iq na attack tu, kujibu hoja zero
 
Hakuna mwanaume asiependa kupata hiyo bahati,tutakesha hapa kubisha ilimradi kujifariji kwakua tumekosa wanawake wa hivyo,lakini kubahatika kupata mtu ambae hajaguswa ni heshima kubwa sana.

Ndomana zamani hata wafalme walikua wanaletewa mtu ambae hajachakachuliwa ,machifu wa zamani vivyo hivyo,ndomana wanaume wengi hata kama aliwahi mtoa bikra mwanamke wakiwa wadogo atajiona yeye ndo kidume.

Narudia HAKUNA ASIEPENDA BIKRA na kwa tuliokosa tusijihisi vibaya ndo ishatokea na wale ambao bado hatujaoa tunanafasi ya kuchagua kwa makini,but the choice is yours.

Anko jay
 
πŸ€ πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Kuwa wa kwanza ni raha sana. Hasa katika vitu vyenye kuleta furaha.
Bikra ina raha yake.
 
Hyo huwa mnajifariji tu haina maana yoyote hasa sikuhizi bikra xinatengenezwa na uke una banwa vizuri wewe hujui wajiona umepata
Wewe ndo unajifariji!! Mitazamo yako inadhihirisha wazi wewe huna bikra na hata inawezekana humkumbuki aliyebandua!!na huna mwanaume aliyekuahid hata kukuoa!! Hali hiyo inakupa wasiwasi ndio maana unaipinga mada hii kwa nguv zoteπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†!! Na sio tunataka et kuoa bikra kwasabab tu uke wao umebana hapana!!! Ila ni kwa faida alizotaja mleta mada huko juu!!
 
Bikra matters but kuna utandawazi pia.
Huyo binti akicheki porno na akapendezwa na style fulani au mapenzi ya aina fulani na wewe bwana huyawezi jipange.

Kuna binti mmoja aliolewa na bikra yake lakini aliomba talaka kwa yule mzee akaenda kuolewa na kijana wa ndoto yake.

Kiufupi wanaume tunatamani mwanamke wa peke yetu kwa maana hakuna aliye mvua chupi zaidi yako wewe. Hakuna anaye jua uchi wake zaidi yako wewe na hakuna anaye mridhisha zaidi yako wewe. Basi jitahidi na wewe mwanaume uwe mwadilifu maana zinaa ni deni ujue. Kama hata ziniwa mkeo, basi dada yako, au hata mwanao.

Na unaweza dhani umeoa bikra lakini bado akachepuka vile vile. Hii nimesimuliwa na bibi yangu dhahiri shahiri. Mwanzoni hata fanya upuuzi huo ila akikuzoea kama miaka 5 hivi na anajua ratiba zako basi sahau atatoka nnje kwenda kubadilisha mazingira.
 
Mimi Sina bikra zote haya umefurahi!!
Mtazamo wangu ni huru ka ilivo wako nauheshimu huna haja ya kukashifu hyo ni lack of maturity na kujielewa, mtu matured huwa muelewa hutetea hoja bila kashfa, Sasa mtu ka wewe na wavulana wenzako mnajizalilisha tu kwa kutokuelewa Mambo, so inabidi mjibiwe kulingana na uelewa wenu, mwanaume rijali hukuti anahangaika na bikra za wanawake Mara vile sijui wanawake nini, anyway mkikua mtaacha utoto huo
 
Katika mtu asiyejielewa humu ni ww!! Ungekuwa unajielewa usingesema k ni ya kutumika na kusema hata mtoto wako utamshauri aitumie ipasavyo! Huo ndo lack of maturity na kutojielewa!! Kama kuna mwanaume una date naye akiona upuuzi unaoandika huku sidhan kama atakuwa na nguv ya kuendelea na wewe!!! Et hatujakuaπŸ˜†πŸ˜† wewe ndo hujakua ungekuwa umekuwa usingethubutu kusema et K ni ya kutumika! Mwanamke matured hawez tamka hivoβœ‹ Hii kauli ni ya wanawake waliokata tamaa na papuchi zao baada ya kutumika sana na kukosa wa kuwaeka ndan pole sana km na ww upo kundi hilo😏😏!!
 
Mkuu hujatuelekeza hii mitumba yetu tukaitupe wapi sasa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚, ila kiukweli wanaume wote tulikuwa na ndoto za kuoa mabikra hawa ila tukakosa na inatuumiza kuoa used mkuu.
Yani tena inatumiza kweli aisee hahahahaha
 
[emoji1][emoji1] mkuu hawa ni walewale usijisumbue
 
Sija force mtu ni mtazamo wangu Kama wewe ulio na wako shida iko wapi?
Wanaume wa sikuhizi akili mumepeleka wapi low iq na attack tu, kujibu hoja zero
Mbona wewe povu linakutoka sana
 
Unakuta mwanamke ashatembea na wanaume kibao wote hao alikua ananyonya madude yao aki wanawake hawana kinyaa!
 
Hyo definition yako ya kutokujielewa imeniacha hoi kweli, Yani vile sijaandika utakacho wewe ndio sijielewi sio don't you know the slogan of this forums that's why wavulana humu mkishindwa hoja hukimbilia matusi ili kuji defend.
Mimi kwanza napenda watu wasinielewe cos I don't live to please people rather than myself hyo ni principle yangu, hata mabebez wangu wananielewa maana ni wanaume matured wanaoangalia Mambo from different angle, I always date matured wanaume na sio wavulana, so hata Mambo ya ujinga sijui bikra, sijui kutoa vihela sio case zinazoliza wavulana humu.
Pia ujue kutofautiana mitazamo sio dhambi, kosa au kuitana Malaya. So mkuu Mimi siachwi na type za wanaume tunaoendana na kuelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…