Hakuna mwanaume asiependa kupata hiyo bahati,tutakesha hapa kubisha ilimradi kujifariji kwakua tumekosa wanawake wa hivyo,lakini kubahatika kupata mtu ambae hajaguswa ni heshima kubwa sana.
Ndomana zamani hata wafalme walikua wanaletewa mtu ambae hajachakachuliwa ,machifu wa zamani vivyo hivyo,ndomana wanaume wengi hata kama aliwahi mtoa bikra mwanamke wakiwa wadogo atajiona yeye ndo kidume.
Narudia HAKUNA ASIEPENDA BIKRA na kwa tuliokosa tusijihisi vibaya ndo ishatokea na wale ambao bado hatujaoa tunanafasi ya kuchagua kwa makini,but the choice is yours.
Anko jay