Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Tafuta maspika makubwa uingie mtaani.
Uendelee kujisifu na hizo bikra zako.
Ushamba mzigo
Wewe ndio unatatizo kichwani, unafikiri mpaka mtu anajiita mjinga mchezo, ni kwamba umeshajitathmini.

Bikra itukuzwe na wenye akili, maamuma kama wewe upite kushoto. Pumbavuu
 
Wewe ndio unatatizo kichwani, unafikiri mpaka mtu anajiita mjinga mchezo, ni kwamba umeshajitathmini.

Bikra itukuzwe na wenye akili, maamuma kama wewe upite kushoto. Pumbavuu
Sasa kwani ni jina lake halisi?
 
Ni laana kutoa bikra ya mwanamke alafu usimuoe.

Upo sahihi kabisa,

Haribu walioharibiwa, kisha kaoe mwanamke bikra safi kabisa.

Wanasema gari mpya haitumiki kujifunzia, jifunze mapenzi kwa malaya kisha ukihitimu tafuta bikra oa.
Kwa sisi Waislam.. ukimtoa bikra mwanamke.. wale WATAKAOFATA kumpiga Ukuni.. basi una Percentage yako ya Adhabu ya uzinzi ww uliemtoa Bikra.. sas imagine dem kawa Malaya anagawa kila siku una Accumulate Adhabu kias gani?
 
Ungejua madhara ya hizo BIKRA unazozitindua Ungeacha kbs.

Sihitaji mwanamke bikra kbs.. lbd Mke mtarajiwa nje ya hapo Bikra za kupiga na kusepa zina Shida hizi...
unasema madhara yapi ya bikra? wewe si unakataa baada ya kuzitoa ama?
 
Bwashee mbona unakufuru kwa kuingiza neno hallelujah kisa umebikiri 🙄

Hivi ulipobikiliwa wewe uliimba haleluya?

Ni bora ukijua maana ya neno haleluya kabla hujalitumia
 
Sasa kwani ni jina lake halisi?

Ndilo alilojiita, hilo ndilo jina lake halisi,
jina alilopewa sio halisi.

Haya Yesu alijiita Mwana wa adamu, simba wa Yuda hayo ni majina yake halisi.
Majina aliyopewa sio halisi, yaani Yesu, sijui mwana wa mungu.

Vile ajionavyo mtu ndivyo alivyo
Vile wakuonavyo watu sivyo ulivyo
 
Kwa sisi Waislam.. ukimtoa bikra mwanamke.. wale WATAKAOFATA kumpiga Ukuni.. basi una Percentage yako ya Adhabu ya uzinzi ww uliemtoa Bikra.. sas imagine dem kawa Malaya anagawa kila siku una Accumulate Adhabu kias gani?
Kwani mkuu, mkifunga si mnasamehewa dhambi?

Ni swali tu, naomba unijibu kwa upole
 
Mbona una hasira na masikini we jamaa

Ili uwe tajiri lazima uwachukie masikini
Na ilie uwe masikini lazima uwachukie matajiri.

Ili uwe mwema lazima uwachukie waovu
Na ili uwe muovu lazima uwachukie watu wema.

Hizo ni kanuni, ukishazijua hakuna litakalo kusumbua
 
Kwa hiyo hapo tuseme jina langu hilo linaakisi nini?
 
Kwa hiyo hapo tuseme jina langu hilo linaakisi nini
 
True! Na aliyetolewa kamwe hawezi msahau mtoaji.
Kwa sababu kuna muunganiko mkubwa wa kihisia kwa anayetolewa plus maumivu plus utamu hiyo hali hatokaa aipate popote pake ndiyo maana huwa hawasahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwashee mbona unakufuru kwa kuingiza neno hallelujah kisa umebikiri 🙄

Hivi ulipobikiliwa wewe uliimba haleluya?

Ni bora ukijua maana ya neno haleluya kabla hujalitumia

Wapi nimekufuru Bwashee!

Kuoa Bikra ni jambo la Kheri na ni tendo takatifu, lazima nitumie maneno mazito kulingana na tendo lenyewe.

Bikra Haleluya
 
Kwa kutumia elimu ya kiroho.. ni madhara, LAANA.. coz kuna Muunganiko pale. Pili.. kidini.. ni Shida sana mzigo wake kuubeba
KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…