Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Sasa hao si Wanandoa Bro?KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
Madhara ni kwa Mwanaume unayemtoa bikra mtt wa mtu na kuto muoa.