Sasa mkuu huo mfano wako hauna realityUkivaa Gloves then ukachukua KISU kumuua mtu.. je utakuwa Umejiua Mwenyew?
Sasa kondom humwagi manii zako ndani, unazwagia kwenye ule waraka maisha unaondoka zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu huo mfano wako hauna realityUkivaa Gloves then ukachukua KISU kumuua mtu.. je utakuwa Umejiua Mwenyew?
Jamaa yangu alitoa bikra demu mmoja baada ya wiki kamfumania demu ashagawa kwa watu wanne.Fungua njia atataka kujaribu nyingine kama ni tamu
KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
Hahah so young and naive.Ukikua utajua maisha ni zaidi ya bikraAlikudanganya huyo, bikra sio unavyoifikiria, nafikiri hujawahi kuitoa kama ungewahi usingeandika huu upuuzi hapa.
Mwanamke ukimtoa bikra leo, kumbuka ni kwa mbinde na kashkash.
Kesho tena ukimuomba itakuwa kama leo lakini kashkashi itapungua.
Bikra huijui kaa kimya Mkuu, nafikiri aliamua kukudanganya kwa ulimbukeni wako na wewe unakuja kumwaga uongo uliopewa na jamaa yako.
Bikra unaijua au unaisikia
Reality ipo.. coz kitendo cha Mauaji ni cha kiroho pia.. same as kuingiliana kimwili.Sasa mkuu huo mfano wako hauna reality
Sasa kondom humwagi manii zako ndani, unazwagia kwenye ule waraka maisha unaondoka zako
Maisha wala sio mapenzi,ukifa utaacha legacy gani ,umejenga empire ya familia au ukoo wako
Duuh, hii mada kali kweliReality ipo.. coz kitendo cha Mauaji ni cha kiroho pia.. same as kuingiliana kimwili.
Ndio maan unaambiwa ukimuangalia Mwanamke ukamtamani sawa sawa umezini Nae.. je UMEMGUSA physically?
Hujui maisha,wala hujui chochote fikiria kuto**ana ndo umri wako huu😁😁Maisha sio mapenzi ungezaliwa wewe?
Mbona unaongea mambo kama mtu aliyechanganyikiwa?
Hata mnyama anajua moja ya jukumu lake kuu ni kufanya mapenzi wewe mtu unashindaje kufahamu hilo.
Familia au ukoo wako utaujengaje bila kuchukua mwanamke bikra msafi, au unataka kuzaa vitoto vya zinaa, empire ya familia ya wazinzi na ukoo wa zinaa.
Hii mada wengi itawatoa nje ya kamba
Wewe mpaka ukifa hutojua maana ya maisha kama hujui jambo dogo kama hili.Hahah so young and naive.Ukikua utajua maisha ni zaidi ya bikra
Mpaka kesho wapo na mimi na wewe tutakufa tutawaacha.Hivi wapo kweli au hapa unazungumzia wale wa miaka ya 80 na kurudi nyuma...?
Inahitaji Elimu hasa..Duuh, hii mada kali kweli
Hujui maisha,wala hujui chochote fikiria kuto**ana ndo umri wako huu😁😁
[emoji54] aisee mkuu mimi nawaondolea mzigo tu, wawe huru uzuri sivunji sheria za nchi kwann nisiendelee kuziondoa ?Ni laana kutoa bikra ya mwanamke alafu usimuoe.
Upo sahihi kabisa,
Haribu walioharibiwa, kisha kaoe mwanamke bikra safi kabisa.
Wanasema gari mpya haitumiki kujifunzia, jifunze mapenzi kwa malaya kisha ukihitimu tafuta bikra oa.
Ina maana ukamuoa kisha ukamkuta bikra halafu ukaitoa , kisha mambo yakawa si mambo ukampa talaka 3 means katika wale watakao muoa tena au kumpiga ukuni bila ndoa pia una adhabu yako?Kwa sisi Waislam.. ukimtoa bikra mwanamke.. wale WATAKAOFATA kumpiga Ukuni.. basi una Percentage yako ya Adhabu ya uzinzi ww uliemtoa Bikra.. sas imagine dem kawa Malaya anagawa kila siku una Accumulate Adhabu kias gani?
Ndiyo maana funga ikawa ni fumbo hata malaika hawajui ina malipo yapi, na kingine vitu vinavyoharibu funga si vimewekwa bayana? Na vinavyofanya isiwe batili pia vipo mbona ?Funga sawa unasamehewa dhambi ila.. JE UNA uhakika HIYO funga yako imekubaliwa?...
I can feel your pain [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komaa nao hao hao wanaokuzunguka mkuu.Maisha yanahitaji pesa,bikra hana tako sura ya baba ni upuuzi tu