Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Sasa hao si Wanandoa Bro?KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
asanteWapi nimekufuru Bwashee!
Kuoa Bikra ni jambo la Kheri na ni tendo takatifu, lazima nitumie maneno mazito kulingana na tendo lenyewe.
Bikra Haleluya
Ooh , upo sahihi kuu sema ulikuwa hujaweka sahihi.Sasa hao si Wanandoa Bro?
Madhara ni kwa Mwanaume unayemtoa bikra mtt wa mtu na kuto muoa.
Yes hivyo vyote unavibeba hata kama hujamtoa Bikra , kitengo cha kumuingilia ni tyr ushayabeba.Ooh , upo sahihi kuu sema ulikuwa hujaweka sahihi.
Yani kutoa bikra wanawak tofautinunabeba ma-spirit ya watu , laana na mikosi?
Umemuona Dangote au Mo wanasumbuliwa na mapenzi ukishapata watoto inatosha,kila mwanamke umtakae utampata.Pere alienda kumtembelea Pablo gerezani alimkuta na wanawake wazuri hajawahi kuwaona dunianiPesa bila bikra ni ukatili, uliza wenye pesa wakuambie jinsi mapenzi yanavyowakimbiza
Je kama ukitumia kondomYes hivyo vyote unavibeba hata kama hujamtoa Bikra , kitengo cha kumuingilia ni tyr ushayabeba.
Ila kwa kitendo cha kutoa Bikra kinaenda Extra mile..
Kila MWANAUME atakayempitia huyo Mwanamke.. Na Ww mtoaji wa Bikra unapata Commission ya DHAMBI ya Uzinzi ya yule mwanamke.. mpk kufa kwake.
Hebu nipe hizo shida mkuu , labda sijawahi kukutana nazo.Ungejua madhara ya hizo BIKRA unazozitindua Ungeacha kbs.
Sihitaji mwanamke bikra kbs.. lbd Mke mtarajiwa nje ya hapo Bikra za kupiga na kusepa zina Shida hizi...
Ukivaa Gloves then ukachukua KISU kumuua mtu.. je utakuwa Umejiua Mwenyew?Je kama ukitumia kondom
Coz mm naona ukimt*mba demu na kondom nahisi kama umejit*mba Mwenyewe yani
Umemuona Dangote au Mo wanasumbuliwa na mapenzi ukishapata watoto inatosha,kila mwanamke umtakae utampata.Pere alienda kumtembelea Pablo gerezani alimkuta na wanawake wazuri hajawahi kuwaona duniani
Utakutana nazo taratibu.. si unajua KARMA haisahau. Nyingine utakutana nazo Kwa Sir God..
Dangote kaacha wote kabaki na watoto.Dangote alikuambia hajaoa mwanamke Bikra, au huyo MO?