Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ukivaa Gloves then ukachukua KISU kumuua mtu.. je utakuwa Umejiua Mwenyew?
Sasa mkuu huo mfano wako hauna reality

Sasa kondom humwagi manii zako ndani, unazwagia kwenye ule waraka maisha unaondoka zako
 
Jamaa yangu alitoa bikra demu mmoja baada ya wiki kamfumania demu ashagawa kwa watu wanne.Fungua njia atataka kujaribu nyingine kama ni tamu

Alikudanganya huyo, bikra sio unavyoifikiria, nafikiri hujawahi kuitoa kama ungewahi usingeandika huu upuuzi hapa.

Mwanamke ukimtoa bikra leo, kumbuka ni kwa mbinde na kashkash.
Kesho tena ukimuomba itakuwa kama leo lakini kashkashi itapungua.

Bikra huijui kaa kimya Mkuu, nafikiri aliamua kukudanganya kwa ulimbukeni wako na wewe unakuja kumwaga uongo uliopewa na jamaa yako.

Bikra unaijua au unaisikia
 
KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?

kama mwanamke asiye na bikra akizaa anapata maumivu makali sijui huyo mwenye bikra ilikuwaje
 
Hahah so young and naive.Ukikua utajua maisha ni zaidi ya bikra
 
Sasa mkuu huo mfano wako hauna reality

Sasa kondom humwagi manii zako ndani, unazwagia kwenye ule waraka maisha unaondoka zako
Reality ipo.. coz kitendo cha Mauaji ni cha kiroho pia.. same as kuingiliana kimwili.

Ndio maan unaambiwa ukimuangalia Mwanamke ukamtamani sawa sawa umezini Nae.. je UMEMGUSA physically?
 
Maisha wala sio mapenzi,ukifa utaacha legacy gani ,umejenga empire ya familia au ukoo wako

Maisha sio mapenzi ungezaliwa wewe?
Mbona unaongea mambo kama mtu aliyechanganyikiwa?

Hata mnyama anajua moja ya jukumu lake kuu ni kufanya mapenzi wewe mtu unashindaje kufahamu hilo.

Familia au ukoo wako utaujengaje bila kuchukua mwanamke bikra msafi, au unataka kuzaa vitoto vya zinaa, empire ya familia ya wazinzi na ukoo wa zinaa.

Hii mada wengi itawatoa nje ya kamba
 
Ndo wako wapi siku hizi hao mabikra.

Na wazazi wasiku hizi wameanza kuwala watoto kuwatoa bikra
 
Sema bikra nahisi zitakua tamu, maana sio kwa kusifiwa huku
 
Hujui maisha,wala hujui chochote fikiria kuto**ana ndo umri wako huu😁😁
 
Hujui maisha,wala hujui chochote fikiria kuto**ana ndo umri wako huu😁😁

Maisha siyajui ndio Mkuu,

Ila ninachojua ni kuwa, kwenye maisha yupo simba anayewinda mwenyewe windo bichi kabisa, na yupo Fisi anayekula mizoga iliyokwisha windwa na wanyama wengine.

Ni uamuzi kuamua kuwa simba uoe kitu bikra na kisafi
Au uchague kuwa fisi, uoe mzoga uliokwisha liwa na wengine.
Hayo ndio maisha Mkuu. Kila mtu ana hadhi yake ndani ya jamii, kuna hadhi ya mizoga na hadhi ya kitu Sildi
 
Ni laana kutoa bikra ya mwanamke alafu usimuoe.

Upo sahihi kabisa,

Haribu walioharibiwa, kisha kaoe mwanamke bikra safi kabisa.

Wanasema gari mpya haitumiki kujifunzia, jifunze mapenzi kwa malaya kisha ukihitimu tafuta bikra oa.
[emoji54] aisee mkuu mimi nawaondolea mzigo tu, wawe huru uzuri sivunji sheria za nchi kwann nisiendelee kuziondoa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi Waislam.. ukimtoa bikra mwanamke.. wale WATAKAOFATA kumpiga Ukuni.. basi una Percentage yako ya Adhabu ya uzinzi ww uliemtoa Bikra.. sas imagine dem kawa Malaya anagawa kila siku una Accumulate Adhabu kias gani?
Ina maana ukamuoa kisha ukamkuta bikra halafu ukaitoa , kisha mambo yakawa si mambo ukampa talaka 3 means katika wale watakao muoa tena au kumpiga ukuni bila ndoa pia una adhabu yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…