Mungu akuongoze Mkuu......Kama kweli una mUngu ndani yako..Ninyi ndio mnaharibu watoto wa watu kwa upumbavu wenu na ushenzi wenu.
Alafu wakija kukataliwa kuolewa mnaona waoaji punguani.
Wewe ndio uoe walioharibiwa kwa sababu ulishiriki kuwaharibu, na sio kutupa uchafu wenu kwa wanaume wanaojielewa.
Tunaharibu vilivyoharibiwa
Tunathamini visivyo haribiwa
Tunachafua vilivyochafuliwa
Tunabihifadhi vilivyo safi
Kooo za hivi zinazooona MABORITI KWENYE MACHO YA WATU...Wao wakijifanya Ni wasafi Sana...SIO HATA ZA KUOLEWA NAZO.Kwetu Bikra ni kigezo nyeti sana Mkuu.
Mkuu hata ingekuwa ni siku ya harusi yake, kama ingebainika binti sio bikra hiyo ndoa ingevurugwa muda huo huo, sio mimi, Mzee au bi. Mkubwa.
Yaani na akili zangu, ninasherekea mdogo wangu akioa mwanamke asiye na bikra, tena nimevaa suti 😀 😀 😀 labda niwe nimelogwa.
Au mchungaji ati anashika biblia kufungisha uchafu, labda sio mimi
...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...Bora nawe umeulizaBikra ya mke wa mdogo wako inakusadia nini katika maisha yako ya kila siku?
Mkuu...laana ya Zinaaa na uchafu mwingine..unaamini inatoka kwa MTU...Mkuu mimi nakiri nimekuwa mchafuzi, lakini nina miiko. Sipendi laana za kipuuzi.
Mwanamke mwenye bikra najua anauwezo wa kunilaani na laana ikashika ikiwa nimemuharibu ndio maana sijawahi na sitawahi kuthubutu kuchezea miili na mioyo ya wanawake walio na bikra.
Lakini hawa malaya chaaah! Hawa nawafuruga kwa sababu walishavurugwa, najua hawa hata watoe laana ya namna gani kamwe haiwezi kunipata.
Ndio hawa wanasema sijui mungu wao kawaepusha, nawaambia ndio huyo huyo aliyewatoa bikra ndio mungu aliyewaepusha na familia yetu
Mungu anatambua bikra ila anatambua kuzini na asie bikra...Hadi utakapo mpata bikra...?.LOOOH salaleee...Bikra hata kidini ni sababu kubwa sana.
Hata Mungu anaitambua,, sasa wewe kama huoni ni sababu kuu si utakuwa umechanganyikiwa.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]....Ndugu hi NDO IMANI YAKO...Zingatia kanuni hizi
Usizini
Na kama ukizini usizini na mwanamke bikra ambaye hutaki kumuoa
Pia usizini na mke wa mtu
Usiibe wala kudhulumu
Na kama ukiiba au kudhulumu usimuibie wala usimmdhulumu mjane au Yatima.
Usiue
na kama ukiua usiue damu ya asiye na hatia
Wanakera sana single mothers.....waliyezaa nao wako bize kupachika mimba wanawake wengine huko mitaani na hawana habari na watoto wao. Mwanamme unaoa single mother na kurithi mtoto wa jambazi unabakia kuchekwa na huyo jamaa jinsi unavyosumbuka kumlea na kumsomesha. Akikuwa na kuwa na maisha mazuri jambazi anaanza kulia mitandaoni kuwa alinyang'anywa mtoto wake na demu wake kitambo pamoja na kuwa na visingizo kibao ili apewe msaada na demu utasikia si ni baba yake jamani wewe ni baba mlezi tu. Kudadadeki sikubali kuwa na mahusiano na demu aliyezalishwa na vibaka kisha mimi nije kulea vibaka watarajiwa waje kunipa presha na haibu mtaani kisa eti ushamba wa uchi tu!NAONA MKUU UNATIMIZA MAAMUZI YA KIKAO NAMBA 7 CHA WANAUME KUWA HAKUNA KUOA SINGLE MOTHER😀😀😀
Mke wako wewe ndio ulimtoa bikra?Mpo poah wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu..
Tumerudi nyumbani, Moshi kama ilivyo ada, kwa wakazi wa moshi mjini, Nipo hapa Kibosho Road. Mimi ndio nilikuwa wakwanza kuja moshi kabla ya dogo ambaye amekuja jumapili ya wiki hii.
Sasa juzi jumanne Dogo katuweka kikao, akatuambia amepata mchumba na anafikiri kuwa huyo ndiye mke wake. Tukafurahi, Dingi akaagiza kreti ya bia ili kikao kikamilike.
Mama na Baba waliuliza maswali yote ya msingi kumhusu huyo mchumba wake, Dogo akayajibu vizuri sana, Wazazi walifurahi mno.
Kikao kilikuwa na watu kumi. Baba, Mama, ndugu zangu wanne, yaani mimi, kaka yangu, dada, na huyo dogo wetu wa mwisho mwenye mchumba, Baba mdogo na mke wake na watoto wadogo wawili wa baba mdogo.
Kwa vile ndugu zangu wakubwa wako bize, nikateuliwa mimi ndio siku yakwenda kutoa mahari basi mimi niwe bega kwa bega na dogo. Dogo alifurahi ukizingatia mimi naye tumenyang'anyana ziwa na tunapenda kichizi.
Katika hali isiyotarajiwa, hali ikavurugika, kutokana na swali langu nililouliza, Niliuliza hivi; Huyo mchumba wako ni bikra? Kama ni bikra nitaenda na wewe kutoa mahari, kama sio tafuta mwingine wakuenda naye.
Kauli hiyo ilileta ukimya kisha,kilichiofuata ni kelele kutoka kwa Dogo, kikao kikagawanyika katikati, wapo walioniunga mkono akiwepo Baba, Mama yangu, na Dada yangu, lakini Kaka Mkubwa, Baba mdogo na mama Mdogo wakaungana na Dogo.
Siku ikaisha, dogo akaondoka nyumbani akaenda kwa Baba Mdogo Anakaa Majengo.
Jana jioni karudi, amenuna mno, hataki kuongea na mtu. Nikamuita, tukazungumza kwa kirefu kama lisaa na nusu. Mbaya zaidi ananiambia huyo mrembo anamtoto mmoja. Hapo ndio nikawambia kabisa sio kwenye mahari tuu sitaenda,, hata kwenye harusi yako sitakuja, na wala sitakuja kwako kabisa, na wala usinihusishe na mambo ya nyumba yako.
Aliponiuliza kwa nini, nilimuelezea sababu nyingi sana, tuliongea mpaka saa sita za usiku
Leo asubuhi wakati tunapara kifungua kinywa, alizungumza maneno mafupi sana.
" Naombeni mnisamehe. Nimewaelewa"
Sikukuu ndio kesho, familia imeamua hakuna wakupinga.
Jokajeusi
Niletee huyo mwanamke bikra nakupa ekari zangu 10 za mpunga KilomberoKulala tutalala na wanawake mpaka dunia iishe.
Ila hatuwezi toa bikra za watu, tunaharibu vilivyoharibiwa. Lakini hatuoi vilivyoharibiwa
Lakini kamwe hatuwezi kuoa mwanamke asiye na bikra
Kwa hiyo familia yenu ina wataalamu wa kupima bikra? manake demu akijipanga nyie ndugu mtabishaje kama anayo au hana?Vyovyote usemavyo ila siwezi peleka mahari ya mdogo wangu aende akaoe mwanamke asiye na bikra tena mwenye mtoto.
Sijamkataza yeye kwenda, anaweza kwenda na mtu mwingine lakini sio mimi.
Kwa bahati mbaya ni kuwa kwenye familia yetu moja ya miiko ni kuwa huwezi oa mwanamke asiye na bikra, kwa hiyo hilo halitawezekana.
Ninyi msio na unafiki kaoeni tuu hakuna aliyewakataza.
Familia isiyo na miiko ni kama wanyama tuu
Maneno makali sana hayo mkuu. Inamana ikitoka umependana na Single Ma na akikuomba umsitiri utamkatalia? Hata awe mzuri kama Joketi?Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
Maneno makali sana hayo mkuu. Inamana ikitoka umependana na Single Ma na akikuomba umsitiri utamkatalia? Hata awe mzuri kama Joketi?
Ukiona hivyi basi ujue anafafana naoJokate anaingiaje kwenye huu utopolo!
[emoji4][emoji4]NAWEWE tafuta Bikra..my good friend
Aiseee....uzi bora kabisa kabla ya sikukuu.