Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Joka nimekujua kupitia hii thread 😀
 
Binadamu hasa wanaume tuna misimamo tofauti kama tulivyo tofauti.
Mtizamo wa mtoa mada hauwezi kuwa sawa na wengine pia wapo wanaochangia kwa unafiki wakimponda mtoa mada lakini wao pia kila siku wanawaponda single mothers humu kuwa siyo wa kuoa tena wengine wakisikia mtu anamtoto wanasema lazima baba wa mtoto awe amekufa na umeona kaburi lake sasa hiyo inatofautiana vipi na mtu anayependa kuoa bikra?

Kuna watu ni furahisha genge wanamitizamo tofauti ktk mada ileile moja kulingana na uzi na siku kaamkaje au ktk huo uzi watu wanaulekeo gani au mtu anayemhusudu ana anachngamana naye ametoa mawazo gani......kuna wengine labda wameoa single maza lakini hapa watakuja kuwaponda....wengine wengine wameoa ma bikra na ni shida huko ndoani lakini hapa watakuja kujitapa anyway ni part ya life wanasema bila unafiki maisha ya hayaendi.....kila mtu abaki na msimamo wake ili usije kulaumu watu........
 
Joka nimekujua kupitia hii thread 😀
huo ndo msimamo wake siku zote humu na mimi sioni shida as longer ni msimamo wake na kila mtu awe na msimamo wake...mbona mimi pombe sinywi na siwezi mpa, kopesha aukmuongezea mtu pesa ya pombe hata kama atanilipa kwa riba kubwa ni msimamo binafsi....
 
Na wewe pombe unakunywa ? ?
 
Sijaelewa point yako.

Umeelewa nilichosema?Au umekosea kuquote...
 

Hahahah!

Sasa unakataa single mother alafu muda huo unaoa asiye na bikra, hii akili matope
 
Alafu unasema ww ni mchaga na uongo wako

Acha shobo na makabila ya watu, wewe Mwenyewe umebebwa na mkeo hapo😏😏

🤣🤣🤣🤣

Aliyekuambia mimi mchaga ni nani?
Wewe ndio uache shobo na umzoga wako.

Uwe mchaga au uwe nani, kama huna bikra tafuta fisi wa kula mizoga, nani anashobo na uchafu
 

Si ndio hapo.

Kila mtu ana miiko yake.
Wakati single mother wakisemwa vianamke visivyo na bikra lakini havina watoto vinachekelea,

Sasa nikija mimi fagio la chuma nikiwasomba wote, kelele mingi.

Kila mtu na miiko yake, siwezi kumlaumu nzi kwa kupenda kinyesi wakati ndio asili yake,
Waambie waache unafiki hawa wehu
 
Kooo za hivi zinazooona MABORITI KWENYE MACHO YA WATU...Wao wakijifanya Ni wasafi Sana...SIO HATA ZA KUOLEWA NAZO.

Na sisi hatutaki koo zenye umalaya damuni, natamani siku ukutane na ndugu yangu yoyote alafu akulete home, nafikiri utajuta hiyo siku.

Boriti Boriti, huyo aliyesema mwenyewe kazaliwa na bikra alafu anawachota akili wapumbavu
 
L
Kwa hiyo familia yenu ina wataalamu wa kupima bikra? manake demu akijipanga nyie ndugu mtabishaje kama anayo au hana?
Njoo uolewe ndio utapata majibu ya maswalli yako.

Njoo upande na moja ya vijana wa koo yetu alafu huna bikra alafu utakuja kutoa mrejesho humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…