Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Huwaga wanawake wanachepuka wenyewe tuuuuu, wanaume nooooo, au!??? Si wanaume haohao haoahao haoahao ndio wanawachepusha!??? Naona wanaume wengine mmeanza kuluz memory sasa!!!
 
Huwaga wanawake wanachepuka wenyewe tuuuuu, wanaume nooooo, au!??? Si wanaume haohao haoahao haoahao ndio wanawachepusha!??? Naona wanaume wengine mmeanza kuluz memory sasa!!!

Umechanganyikiwa Mkuu,
Mada inahusu wake za watu sio waume za watu, elimu yako hata ya darasa la saba haijakusaidia kuelewa mada inahusu nini?
 
Ukweli mchungu...

Subiri mapovu kutoka kwa waliooa wanawake sio bikira.
 
Umechanganyikiwa Mkuu,
Mada inahusu wake za watu sio waume za watu, elimu yako hata ya darasa la saba haijakusaidia kuelewa mada inahusu nini?
Basi utakuwa hujaielewa mada. I am sorry for u. Halafu wewe uliyefika Class 7 usidhani wote.
 
mchunguze VIZURI huyo mkeo
usije ukajinyonga.

Mimi siwezi ishi na mtu bila kumchunguza, soma nyuzi zangu za nyuma 2014.

Watu wanasema mwanamke hachunguzwi lakini sio kwangu, mimi huwezi kuwa hata rafiki yangu bila kukuchunguza, yaani kila siku lazima nihakikishe nakuchunguza.

Siwezi ishi na mtu nisiyejua anafikiria nini na anafanya nini, labda niwe maiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…